RealixT
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 1,547
- 2,751
Water guard ya juzi kbs hyoWater guard bado ipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Water guard ya juzi kbs hyoWater guard bado ipo?
Hao Jamaa wapo natural sn, Ila natamani sn ningepata connection ya kule Nigeria nitumiwe zile "Cola nuts" naskia zina maajab makubwa snNimenda India na Lagosi nimekuta mboga zinapikwa kwa kiungo Cha binzari.Je mbona hapa bongo wamesahau hiki kiungo.Tumieni binzari kwa ubora wa ini zetu.
Sisi tuliozaliwa 2001 tunakomenti wapi?Mwaka 1998 nlikuwa na miaka minne, ila bado nakumbuka ilo tangazo lodilofa
Ni Andrews Liver Salt[emoji38][emoji38][emoji38] Andrews...rivers salts! Ilikuwa hatari sana kwa kuondoa gesi tumboni.
Oooh ***** Ngoma katituKanga za mawingu
Vitenge vinaitwa Japani
Mziki wa katitu
Mtangazaji mambo mbotela
Mafuta ya kimbo yapo na wembe wa topaz upo,, Leo nimeviona madukani kama upo Dodoma ,naweza kukuelekeza pa kuvipata.Kimbo
Topaz
Sunvita
Komesha
NdioWater guard bado ipo?
LegeendBia ya Bingwa
Kalamu za BIC bado zipoHizo zimepotea ongezea na Speedo
Ni sukari kijiko kimojaaa [emoji2][emoji2][emoji2]Kk sukari
Hizi kalamu kwangu zilikuwaga special kwa ajili ya kufanyia mtihani tu, maana ukizubaa darasani kidogo tu wanapita nayo [emoji23] Tena nikirudi home nazifungia kabatini..Kalamu yangu Bora ya Mda wote, enzi hizo nasoma bila kuandikia hii nilikua sielewi,
Sizani kama mpk leo zipo nilikuq nazifuata mpk k.koo, kuna kipindi nilitafta nikakosa.
Cello Gripper Ballpoint PenView attachment 2721114View attachment 2721115View attachment 2721116
YeahWakuu mnazikumbuka chuchuba zile zpo km barafu za miamia, kwa wadau wa Moshi kipindi kile nahc watakua mnnazikumbuka hz