Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Komoa

aha dawa ya meno

Onga mchuzi mix

Baiskeli ya Phoenix ( Fonex)

Simu za Siemens, HTC, Panasonic
Umenikumbusha baiskeli ya Phoenix, mzee alikuwa nayo nakumbuka alikuwa hadi anailipia ushuru sh 200 kama sikosei.

Aliinunulia hadi kufuli lile anafunga funguo anakaa nayo. Akukute umechezea au umeharibu 😀
 
KUBERI mnaijua nyny watoto wa hiki kizazi?
Kuberi harufu yake imenijia hp baada ya kiutaja tu mkuu, naikumbuka kitambo sn japo ckuiwahi itumia nilikua naona nazo wahuni tu wa Kilimanjaro wakizitumia
 
Back
Top Bottom