Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Kina:
Suruali kodrai
Suruali mtepeto(pana inafunika viatu)
Sabuni mshindi
Maziwa ya Cowberry
Chai Jaba
Sukari guru
Binzali/bizali(unga flan unawekwa kwenye mchuzi kwa ajili ya rangi,harufu na uzito)
Kandambili aina ya Bora
Tangazo la ndege ya Kilimanjaro (ITV)
Baiskeli aina ya swala
Jiwe la kuzungusha la kupalazia mchele wa mtama,kunde, mbaazi kwa ajili ya balaowa
Jiwe la kusagia kunde za bagia, mtama kwa ajili ya unga
Bati la kupalazia mahindi ambayo hayajakauka vzr kwa lengo la kupata unga (litimba)
Mabumunda
Kandili/chemli - Taa inayotumia mafuta ya taa na utambi maalum
Kalabai - taa inayotumia mafuta Una pump km baiskeli, inatoa mwanga mweupe
Pasi ya mkaa- jivu kuangukia ilikuwa kawaida
Mashati ya uji uji ya Bahama
Kaniki

More to come
 
Hivi tangazo la ndege ya Kilimanjaro la itv lilikuwa la mwaka gani? Lodilofah
 
Back
Top Bottom