Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Picha inajieleza wakwongwe wanaifahamu hii.
images.jpeg.jpg
 
Mimi huku kwetu watoto wangu hawajui chawa ni wadudu gani. Enzi zetu wadudu hawa walitutesa Sana. Tulikuwa pia na wimbo wa kuwaambia chawa waache kutusumbua usiku tukiwa tumelala na kutulazimisha kunyolewa nywele hadi vipara.
Ukiwaambia chawa, watajua ni wapambe wa mama🤣🤣
 
Potelo kinywaji Cha enzi hizo na nguo zimeandikwa Babu kubwa daah maisha ni safari
 
Back
Top Bottom