Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Pens:
splendid, Beifa, biki, cello, finegrip(za sasa sio nzuri), multi ink pen(red, blue and black).

Radio:
workman zile zina kanda zilikuwa zinawahi kufa spika na sehemu ya kanda na zile radio za CD zilikuwa round shape unatembea nayo na earphone flan nyeusi zenye nyaya line(L shape socket).

aitkenson na Kichbo
View attachment 2720762
hlf console
View attachment 2720766
Nawapiga hela washamba enzi hizo
View attachment 2720767
Ukipuliza hii nusu saa we kidume
more to come
Kumbe hivo vi radio viliitwa workman
Sisi tulikua tukiviita okomani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umetisha sana mwamba
 
Back
Top Bottom