Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Pens:
splendid, Beifa, biki, cello, finegrip(za sasa sio nzuri), multi ink pen(red, blue and black).

Radio:
walkman zile zina kanda zilikuwa zinawahi kufa spika na sehemu ya kanda na zile radio za CD zilikuwa round shape unatembea nayo na earphone flan nyeusi zenye nyaya line(L shape socket).

aitkenson na Kichbo
View attachment 2720762
hlf console
View attachment 2720766
Nawapiga hela washamba enzi hizo
View attachment 2720767
Ukipuliza hii nusu saa we kidume
more to come
Kwenye pen umeua mkuu.

Fingrip ndio kalamu yangu pendwa ilikua na bic.

Acha tu.
 
😂😂😂Mapigo yangu hayo enzi hizo wakuu acha kabisa this life.
Enzi hizo niko mrefu kama mlingoti, suruali za mfumo wa jeans halafu zina upana wa kufa mtu kama ule mfuko wa kusagia mashineni.

Paja kama njiti ya kiberiti ila suruali paja upana ni 30😂.
 
Mafuta ya kupaka ASHANTI.
Jeans SAVCO.
raba DH.
Suruali kitambaa MCHELE MCHELE.

Jeans nyeusi za kuweka Rangi za UKILI.
viatu CHACHACHA.
kiatu SAFARI BOAT.

Kandambili BATA.

PARFUM Yolanda.
Chachacha na bata ndio zilikua shoes zangu za kutokea krismasi ama sikukuu ya maana😂. Otherwise kunikuta peku ilikua jambo la kawaida sana.

Maisha haya bana acha tu, leo natinga snikers ama raba za bei ghali sana ila nimetembea peku mara nyingi sana maishani mwangu huko nyuma..

Maisha haya acha tu.
 
Back
Top Bottom