Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Kwenye pen umeua mkuu.

Fingrip ndio kalamu yangu pendwa ilikua na bic.

Acha tu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mapigo yangu hayo enzi hizo wakuu acha kabisa this life.
Enzi hizo niko mrefu kama mlingoti, suruali za mfumo wa jeans halafu zina upana wa kufa mtu kama ule mfuko wa kusagia mashineni.

Paja kama njiti ya kiberiti ila suruali paja upana ni 30๐Ÿ˜‚.
 
Mafuta ya kupaka ASHANTI.
Jeans SAVCO.
raba DH.
Suruali kitambaa MCHELE MCHELE.

Jeans nyeusi za kuweka Rangi za UKILI.
viatu CHACHACHA.
kiatu SAFARI BOAT.

Kandambili BATA.

PARFUM Yolanda.
Chachacha na bata ndio zilikua shoes zangu za kutokea krismasi ama sikukuu ya maana๐Ÿ˜‚. Otherwise kunikuta peku ilikua jambo la kawaida sana.

Maisha haya bana acha tu, leo natinga snikers ama raba za bei ghali sana ila nimetembea peku mara nyingi sana maishani mwangu huko nyuma..

Maisha haya acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ