GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
✅VIP aka Vaa Ikubane pumbu
Nilikuelewa kabisa. Hao ndo wapo kwa sasa.Sijasema hao nazungumzia "CHAWA WA MAMA"
Kumbe hivo vi radio viliitwa workmanPens:
splendid, Beifa, biki, cello, finegrip(za sasa sio nzuri), multi ink pen(red, blue and black).
Radio:
workman zile zina kanda zilikuwa zinawahi kufa spika na sehemu ya kanda na zile radio za CD zilikuwa round shape unatembea nayo na earphone flan nyeusi zenye nyaya line(L shape socket).
aitkenson na Kichbo
View attachment 2720762
hlf console
View attachment 2720766
Nawapiga hela washamba enzi hizo
View attachment 2720767
Ukipuliza hii nusu saa we kidume
more to come
Ni walkman sio okoman hizo radio zilikuwa za sonyKumbe hivo vi radio viliitwa workman
Sisi tulikua tukiviita okomani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umetisha sana mwamba
Waijulie wapi? sema siku hizi tumehamia kwa mmasai.KUBERI mnaijua nyny watoto wa hiki kizazi?
Pata pata juicesKimbo
Topaz
Sunvita
Komesha