Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Vipindi vya Radio Tanzania Dar es Salaam(RTD):
1. Mama na Mwana
2. Mkulima wa Kisasa
3. Majira
4. Kombora
5. Salamu za Wagonjwa
6. Pwagu na Pwaguzi
.........
 
Mafuta ya kupaka ASHANTI.
Jeans SAVCO.
raba DH.
Suruali kitambaa MCHELE MCHELE.

Jeans nyeusi za kuweka Rangi za UKILI.
viatu CHACHACHA.
kiatu SAFARI BOAT.

Kandambili BATA.

PARFUM Yolanda.
Chachacha bado zipo wewe
 
Maisha yamekuwa magumu nini? Naona mnakumbuka utotoni
 
Tangazo la kipindi Cha hawavumi lakini wamo, zamani ilianza na wimbo ufuatao.

Wazazi wangu baba na mama mwaniaibisha kila siku kugombana gombana sio vizuri.
 
Kipindi Cha Malumbano ya hoja ITV Kilimanjaro hotel. 1998-2000
Host: Adam Lusekelo na Abdalla Majura.
Kilikuwa kizuri Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…