Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TumericBinzari kwa kiingereza ni nini? Mimi nikiwa mdogo unga wowote wenye rangi unaowekwa kwenye chakula wakati wa kupika tulikuwa tunaita binzari. eg Chill powder,
Ila nitamu but ni ngumu sanaMie nimezimiss gudguddy
Tumeric siyo tunaita manjano? Nadhani tunaita binzari ya manjano. Ina maana kuwa kuna binzari ya rangi nyingine?Tumeric
Philips Savvy zilikua na antenna [emoji28][emoji28][emoji28]Simu yangu ya kwanza kuimiliki, PHILIPS. Niliinunua mpyaa, nafikiri kwa sh 20,000/= mwaka 2006.
Workman = Walk manKumbe hivo vi radio viliitwa workman
Sisi tulikua tukiviita okomani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umetisha sana mwamba