Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Tshirt za njano na nyekundu zenye picha ya Nelly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unatoka wapi peugeot 504 Arusha na Nairobi ni gari za kutembelea badoKorando, pikipiki za jaba, Peugeot 504,fiat,yeboyebo,mobitel,tritel
Kuna Wimbo walitungiwa hawa wahenga unawataja watangazaji wote wa kipindi kile:Julius Nyaisanga
Bro Binzari ipo bado ile unayosikia Royco mchuzi mix ndio binzari yenyewe ial ukienda sokoni utapata binzari kila rangi njano,nyekundu nk inaitwa Curry powder.Vasco Dagama ndio alivifuata IndiaNimenda India na Lagosi nimekuta mboga zinapikwa kwa kiungo Cha binzari.Je mbona hapa bongo wamesahau hiki kiungo.Tumieni binzari kwa ubora wa ini zetu.
RIP Nyaisanga, Misanya, Rehema Mwakangale na wengineKuna Wimbo walitungiwa hawa wahenga unawataja watangazaji wote wa kipindi kile:
Julius Nyaisangah atike babuchiii.....Rose Chitala....atike babuchii, Misanya Biiingi.....Atike babuchiii, Mikidadi Mahmood eeeh....
Dadeki revola nilikuwaga naiskia tu redioni. Bila shaka ilikuwaga Sabuni hii ya kuogea. Ila enzi hizo Mimi Sabuni ya kufulia ndio ilikuwa hiyohiyo ya kuogea iliitwa Mbuni [emoji23] na Ukikosa kabisa kulikuwa na matunda flani tulikuwa tunayatumia kama Sabuni na yalitakatiaha nguo vizuri tu.Revola
Rexona
kuna na jens za ZEBU na DAMAN DADAjeans za Fubu
Sean John pia zilikuepokuna na jens za ZEBU na DAMAN DADA