Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Nimenda India na Lagosi nimekuta mboga zinapikwa kwa kiungo Cha binzari.Je mbona hapa bongo wamesahau hiki kiungo.Tumieni binzari kwa ubora wa ini zetu.
Bro Binzari ipo bado ile unayosikia Royco mchuzi mix ndio binzari yenyewe ial ukienda sokoni utapata binzari kila rangi njano,nyekundu nk inaitwa Curry powder.Vasco Dagama ndio alivifuata India
 
Kuna Wimbo walitungiwa hawa wahenga unawataja watangazaji wote wa kipindi kile:

Julius Nyaisangah atike babuchiii.....Rose Chitala....atike babuchii, Misanya Biiingi.....Atike babuchiii, Mikidadi Mahmood eeeh....
RIP Nyaisanga, Misanya, Rehema Mwakangale na wengine
 
[emoji1787]
download%20(2).jpg
download%20(3).jpg
 
Revola
Rexona
Dadeki revola nilikuwaga naiskia tu redioni. Bila shaka ilikuwaga Sabuni hii ya kuogea. Ila enzi hizo Mimi Sabuni ya kufulia ndio ilikuwa hiyohiyo ya kuogea iliitwa Mbuni [emoji23] na Ukikosa kabisa kulikuwa na matunda flani tulikuwa tunayatumia kama Sabuni na yalitakatiaha nguo vizuri tu.
 
magari ya udongo tumeendesha sana pamoja na watu wa udongo tumetengeneza sana
 
Timu za mpira zilikuwepo pia ambazo watoto wa leo hawawezi kuzijua

Twiga Fc ya Kinondoni

Manyema Fc aka Mkuki wa Sumu

Vijana Ilala aka Wana kabaka yeka

Mecco Fc

Nazareth ya Njombe

Mji Mpwapwa Fc

Sigara Fc

Pan Africa Fc

Mbagala Market

82 rangers ya Shinyanga

44 KJ Fc

Nyota nyekundu
 
Back
Top Bottom