hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
kuna hili songi nimekumbuka
Mungu mkubwa, bwa bwabwa na samaki, ki king majuto, to tone la maji, ji jitu la kale, le lenye midevu, vu vumbua dhahabu........Nimesahau linaendeleaje
Hahaha mama wa kambo, mbo mbona wanitesa, sa sasa naondoka, ka kaa peke yako, ko koma kunipiga, ga gari la jeshi, shi shingo ya mtu, tu tundu la nyoka, ka karibu na wewe, we wembe wa kucha, cha chakula kitamu, mu Mungu mkubwa.....
Teh enzi zetu mweeMungu mkubwa bwa, bwawa la samaki ki, king majuto to , tone la maji ji, jitu la kale le, lenye madevu vu, vumbua dhahabu bu, bubu hasemi MI, mimi mdogo go, gogo la mti ti, Tina na mjuba ba, baba wa kambo mbo, mbona wanitesa sa, sasa naondoka ka, kaa peke yako ko, koma kunitesa,
Teh enzi zetu mwee
Ok..Sarah ameshatoka..Watz wamebaki watatuEeh nimekuja kuishtukia late eti, uzee huu. Ndo naanza kuifatilia. Nilimuona yule sarah alokuwa bss
Kipindi hicho utoto ilikuwa raha sana aisee..Nakumbuka kitaa tulikuwa na lugha zetu ambazo tulikuwa tunaelewana wenyewe tu..Mtu wa kuja unaweza kutetwa na usielewe
Ngoja niifatilie Vizuri nowOk..Sarah ameshatoka..Watz wamebaki watatu
Kwetu kulikuwa na mchezo unaitwa msindi kuinama,ukijisahau uiname unakula teke la adabu huko nyuma..
Ndege umekwima mali,sasa wataka vumbi...Bu bubu hasemi ?mi mimi mdogo go gogo la mti..ti tina na mjuba..ba baba mkali..li lindi wa tausi......tausi ndege wangu ndege wa fahari...... hhhaaaaaaa
Umeona ehhee..Hapo unaweza kuniteta wala nisishike hata moja..Sisi tulikuwa na ya kuongea Kinyume, pamoja na ya kuondoa herufi za mwisho na kuweka "psi"....Mapsi vipsi kapsi(mambo vipi kaka)Hii ya lugha umenikumbusha mbali ,tulikua tunaweka herufi "chi"kutenganisha herufi mfano neno wewe lilitamkwa "wechiwechi"
",kachimachi wechiwechi nichi mchijachinjachi uchimechinichiechilechiwachi
Ndege umekwima mali,sasa wataka vumbi...
Wapita watu wawili,wameleta uramani sasa tuko mbali mbali
Daah..Umenikumbusha Tina na Mjuba..Kipindi hicho Tausi iko hot mbaya...wakina Dama,Siti bin Kasri,Kalumanzira,Rhoda,Lindi, Balaza n.k ....Kitambo sana aisee
Poa..Japo naona washiriki ni wakawaida sana..I wish ningekushtua na ww uende kwenye auditionNgoja niifatilie Vizuri now
Teh hapana chezea vocal la kinyakiPoa..Japo naona washiriki ni wakawaida sana..I wish ningekushtua na ww uende kwenye audition
kuna hili songi nimekumbuka
Mungu mkubwa, bwa bwabwa na samaki, ki king majuto, to tone la maji, ji jitu la kale, le lenye midevu, vu vumbua dhahabu........Nimesahau linaendeleaje
Na yale mauno sasa..Yani ushindi huu hapaTeh hapana chezea vocal la kinyaki
Hahahahaha hatarious, yani wangejutraaa kunifahamuNa yale mauno sasa..Yani ushindi huu hapa