Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,154
- 1,848
Au tobo ndole
Ukipigwa tobo unatiwa ndole
Tobo ndole tena huu inaonekana walikuwa wanacheza sana kina Juma Nyosso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au tobo ndole
Ukipigwa tobo unatiwa ndole
Tobo ndole tena huu inaonekana walikuwa wanacheza sana kina Juma Nyosso
Mkuu ongeza na "makida makida" sana mabinti walipenda sn huu mchezo na ulivuma sn kitambo iko...walikuwa wakiruka kwa kutumia mpira mwembamba wa manati km sikoseiBila kusahau 'bilingeba yoyo bilingeba yo..tunamuomba talentboy atuoneshe maringo yke bingilibingili mpaka chini"...,...aisee!Ila mkuu hii si ilibidi uipelleke kule 'chit chat' hii.
kuna ule wimbo wa mama kapika ugali na mfinyango wa nyama ya dede ya dede yaaaa! na ule katoka shamban na mkungu wa ndizi, kipindi hicho shule mnasoma kitabu cha hawafu mwenye nguvu, mkicheza football unavaa kiatu mguu m1 kingine unampa mwingine.
Ni kweli mkuu. Halafu penalt kipa anasimama kwa mguu mmoja
Teh teh..Kuna mmoja walikuwa wanamwita Kibiriti ngoma..Sijui alikuwa Kibibi yuleRukia mwana kindakindaki!
Bu bubu hasemi mi mimi mdogoo go gogo la mti ti tina na mjuba baba mkali lindi ina vita ta ta hahahaha long time
Mganga wa mchezo wa tausi aliitwa nani Kalumanzila lala salama mama wa kambo mbona wanitesa sasa naondoka ka kaa peke yako koma kunipiga gari la baba ba baba mzazi zi zizi la ng'ombe mbe mbele ya nyumba mba mbali na mungu Mungu mkubwa bwawa la samaki ki king majuto to tone la maji jitu la kale le lenye midevu vu vumbua dhahabu bu bubu hasemi mi mi mdogo gogo la mti ti tina mjuba ba bahari ya hindi ndi hindi la kuchoma ma macho yanaona mbali li mbali na upeoo o ondoka upesi........utaendelea
Nakumbuka nilipokua naimba huu wimbo leo palivyo noma
Hahaha mama wa kambo, mbo mbona wanitesa, sa sasa naondoka, ka kaa peke yako, ko koma kunipiga, ga gari la jeshi, shi shingo ya mtu, tu tundu la nyoka, ka karibu na wewe, we wembe wa kucha, cha chakula kitamu, mu Mungu mkubwa.....
inaanza iv"ko koma kunipiga,ga gari la baba,ba baba mzazi,zi zizi la ng'ombe,mbe mbele ya nyumba,mba mbali na wewe,we wembe wa kucha,cha chakula kichafu,fu fuvu ka kale..umenikumbusha mbali sana kaboom
Dah nakmbk mnaanza gemu saa mbili asubuhi mnatoks saa saba kwa ajili ya msosi then mnalianzisha mpaka kumi na mbili.....mtu unatoka umechoka chepechepe afu ukilala usiku ukiamka asubuhi kitanda kama bwawa vile....
Bu bubu hasemi mi mimi mdogoo go gogo la mti ti tina na mjuba baba mkali lindi ina vita ta ta hahahaha long time
Hahaha kombolela la jioni jioni afu nguo mmebadilishana daah
Vichupa ni ile rede ya Vichupa au?
Teh kibaba baba na kimama mama sio kizuri kwa watoto. Kuna muda wanafanyaga kweli[emoji85] [emoji85]
Teh wewe hukuwahi daddyTeh teh..Wasichana wengi walikuwa wanafunguliwa Lock kwenye huo mchezo
Hahaha kombolela la jioni jioni afu nguo mmebadilishana daah
Teh teh...Nilijaribu ikawa haipiti..NikaachaTeh wewe hukuwahi daddy
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh...Nilijaribu ikawa haipiti..Nikaacha
Najua na we uliwahi..Kama ulinusurika kwenye kibaba baba ,basi kwenye kombolela..tena huko ndo mlikuwa mnabadilisha hadi nguo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha Hahaaaaaaaa nikithema utanichapa. Nope kombolela tulikuwa tunabadilishana nguo watu wa jinsia mojaNajua na we uliwahi..Kama ulinusurika kwenye kibaba baba ,basi kwenye kombolela..tena huko ndo mlikuwa mnabadilisha hadi nguo
Teh teh..Haya bana..Unaangalia "tecno own the stage"?Haha Hahaaaaaaaa nikithema utanichapa. Nope kombolela tulikuwa tunabadilishana nguo watu wa jinsia moja
kuna hili songi nimekumbuka
Mungu mkubwa, bwa bwabwa na samaki, ki king majuto, to tone la maji, ji jitu la kale, le lenye midevu, vu vumbua dhahabu........Nimesahau linaendeleaje
Eeh nimekuja kuishtukia late eti, uzee huu. Ndo naanza kuifatilia. Nilimuona yule sarah alokuwa bssTeh teh..Haya bana..Unaangalia "tecno own the stage"?