Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Tujikumbushe Wachezaji ambao ni ndugu Katika Soka!

Basi asante kwa taarifa, vipi kuhusu Kapombe kama ana nasaba na mmoja wa hao?
Sina hakika, niulize mambo ya zamani, siku hizi mpira naangalia kwenye TV tu, zamani nilikuwa naenda kuruka ukuta Uwanja wa Taifa wa zamani, unadondosha noti ya shilingi 10 halafu polisi anaruhusu uruke ukuta [emoji1787][emoji23]

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok familia ya mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia alikuwepo Deo Njohole, alipotoka Simba na kujiunga na Yanga kimizengwe, mpira wake ukaishia hapo. Pia yuko Njohole mwingine alisoma Jitegemee , Renatus Njohole, alicheza kidogo Bongo kicha akaenda kucheza Uswis na akaishia hukohuko.

Katika Njohole wote, kiboko yao alikuwa Nico Njohole (mapafu ya mbwa), baadae akaenda nje kucheza mpira wa kulipwa na hatujamsikia tena.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom