Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Yaah huyo omam biyik ndio alipeleka kilio Argentina mwaka wa 1990 kwa goli lake maridadi la kichwa nduguye alikuwa kiungo roho mbaya mtu wa kazi.Biyik family
kote hakufai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah huyo omam biyik ndio alipeleka kilio Argentina mwaka wa 1990 kwa goli lake maridadi la kichwa nduguye alikuwa kiungo roho mbaya mtu wa kazi.Biyik family
kote hakufai
Jamie ni mtoto wa Harry ambaye ni mjomba wa frank..yupo sahihi tuMkuu umewaza nini [emoji23][emoji23][emoji23] hope ulitaka kumaanisha Jamie redknapp
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkongwe!Harry Waya na Lawrance Waya wa Malawi enzi za kina Boniface Maganga, Young Chimodzi . Enzi hizo Malawi, Zambia na Zimbabwe zikiwa wanachama wa CECAFA.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Andres Omam Biyik na Francois Omam Biyik wa Indomitable Lions (Cameroon)Biyik family
kote hakufai
Lila Shomari na Allan Shomari hawakuwa ndugu, majina tu ya mbele yanafanana.Lila Shomari na Alan Shomari, mmoja alikuwa Simba mmoja Yanga.
Ila sijui kama huyu Shomari Kapombe naye ni uzao wa hawa?
Basi asante kwa taarifa, vipi kuhusu Kapombe kama ana nasaba na mmoja wa hao?Lila Shomari na Allan Shomari hawakuwa ndugu, majina tu ya mbele yanafanana.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Biniface Njohole wa Reli Moro, siku hizi yupo Ibrahim Njohole wa Mbao FC.
Gary Neville na PhilGarynevo na Philipnevo hawa ni ndugu waliocheza Manchester united... Way back
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hakika, niulize mambo ya zamani, siku hizi mpira naangalia kwenye TV tu, zamani nilikuwa naenda kuruka ukuta Uwanja wa Taifa wa zamani, unadondosha noti ya shilingi 10 halafu polisi anaruhusu uruke ukuta [emoji1787][emoji23]Basi asante kwa taarifa, vipi kuhusu Kapombe kama ana nasaba na mmoja wa hao?
Ok familia ya mpiraKuna Biniface Njohole wa Reli Moro, siku hizi yupo Ibrahim Njohole wa Mbao FC.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitwana ManaraSunday manara ' computer', kassim manara na Yule mwingine jina limenitoka
Iddi moshi, mrisho Moshi na haruna moshi
Mohammed abubakar 'phantom' na idd abubakar
Pia alikuwepo Deo Njohole, alipotoka Simba na kujiunga na Yanga kimizengwe, mpira wake ukaishia hapo. Pia yuko Njohole mwingine alisoma Jitegemee , Renatus Njohole, alicheza kidogo Bongo kicha akaenda kucheza Uswis na akaishia hukohuko.