Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Tujikumbushe wachezaji waliotamba AFCON miaka ya nyuma

Afford Chabala
Peter Mwanza/Watson Changwe
John Soko
Harrison Chongo
Mulenga Eston
Derby Makinka
Numba Mwila
Denis Watikayen/Denis Lotta
Kalusha Bwalya
Charles Musonda/Kelvin Mutale'Bomber'
Mosses Chikwalakwala
Kelvin mutale umenikumbusha mbali alikuwa bwana mdogo tu miaka 19 ndio katoka kupiga hat trick ndio janga hilo la Gabon likatokea . Charles musonda alikuwa ubelgiji na ikawa ataungana na wenzie huko huko ndio ponea yake pia kulikuwa na mchezaji jina limenitoka alikuwa kambini kabisa na uhakika wa safari alikuwa nao ikatokea akastua ankle basi ikabidi abaki ndio pona yake . Hapo hujanitajia mtu mmoja wa kuitwa moses chikwalakwala na webby chikabala hiyo kk eleven ilikuwa moto
 
Mie nakumbuka jinsi victor Ikpeba alivyokosa penati yake dhidi ya Cameroon katika fainali ya Afcon mwaka 2000
_642400_victor300.jpg
Ile Penalty kwa technology ya sasa lingewekwa kati
 
Nyakati zimekwenda wapi? Kizazi hakijirudii
Watu wamepita stiven keshi waqt yupo ubelgiji alikuwa anakaa ghetto na washkaji kibao nae ndio siri ya mafanikio ya wachezaji wengi wa nigeria na ghana wa waqt huo mmoja wao ni Nii ordatey lamptey ghana chama cha soka kilimletea figisu figisu akatokea nigeria kwa msaada wa keshi akakwea pipa na kwenda ugelgiji
 
Katika vipaji nilivyokuwa navikubali ni Nii Lamptey!
 
ndief,solomon olembe,geremy njitap,marc vivian foe,laurent mayer,samuel etoo,patric mboma,rigabert song bahanag
 
riyadh bhouzoz wa tunisia,mustafa hadji,yousef hadji,lucas radebe,mark fish,philiph masinga
 
Afford Chabala
Peter Mwanza/Watson Changwe
John Soko
Harrison Chongo
Mulenga Eston
Derby Makinka
Numba Mwila
Denis Watikayen/Denis Lotta
Kalusha Bwalya
Charles Musonda/Kelvin Mutale'Bomber'
Mosses Chikwalakwala
Huyu Mwila Numba na Moses Chikwalakwala zilikuwa namba nyingine kabisa RIP [HASHTAG]#team[/HASHTAG] kali # team kubwa iliyotisha.
 
Hapo kwa

Kelvin mutale umenikumbusha mbali alikuwa bwana mdogo tu miaka 19 ndio katoka kupiga hat trick ndio janga hilo la Gabon likatokea . Charles musonda alikuwa ubelgiji na ikawa ataungana na wenzie huko huko ndio ponea yake pia kulikuwa na mchezaji jina limenitoka alikuwa kambini kabisa na uhakika wa safari alikuwa nao ikatokea akastua ankle basi ikabidi abaki ndio pona yake . Hapo hujanitajia mtu mmoja wa kuitwa moses chikwalakwala na webby chikabala hiyo kk eleven ilikuwa moto
Umenikumbisha mbali sanaaa KK 11.
 
kuna mtu mmoja alikua msumbufu sana.anaitwa Ndiefi wa pale Cameroun ha ha ha ah
Hahahaaaa watu mnakumbuka mbali sanaaa! Ndiefi alikuwa kisiki, mithilo ya nsajigwa kibongo bongo!
 
Back
Top Bottom