Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyakati zimekwenda wapi? Kizazi hakijirudiiNwanko KANU
Taribo west
Daniel amokachi
Uche ikwechuku
Celestine babayaro
Tijan babangida
Mustafa el haj
Patrick mbona
Henry camara
El haj diouf
Papaa bouba diop
Kelvin mutale umenikumbusha mbali alikuwa bwana mdogo tu miaka 19 ndio katoka kupiga hat trick ndio janga hilo la Gabon likatokea . Charles musonda alikuwa ubelgiji na ikawa ataungana na wenzie huko huko ndio ponea yake pia kulikuwa na mchezaji jina limenitoka alikuwa kambini kabisa na uhakika wa safari alikuwa nao ikatokea akastua ankle basi ikabidi abaki ndio pona yake . Hapo hujanitajia mtu mmoja wa kuitwa moses chikwalakwala na webby chikabala hiyo kk eleven ilikuwa motoAfford Chabala
Peter Mwanza/Watson Changwe
John Soko
Harrison Chongo
Mulenga Eston
Derby Makinka
Numba Mwila
Denis Watikayen/Denis Lotta
Kalusha Bwalya
Charles Musonda/Kelvin Mutale'Bomber'
Mosses Chikwalakwala
Ile Penalty kwa technology ya sasa lingewekwa katiMie nakumbuka jinsi victor Ikpeba alivyokosa penati yake dhidi ya Cameroon katika fainali ya Afcon mwaka 2000
![]()
Watu wamepita stiven keshi waqt yupo ubelgiji alikuwa anakaa ghetto na washkaji kibao nae ndio siri ya mafanikio ya wachezaji wengi wa nigeria na ghana wa waqt huo mmoja wao ni Nii ordatey lamptey ghana chama cha soka kilimletea figisu figisu akatokea nigeria kwa msaada wa keshi akakwea pipa na kwenda ugelgijiNyakati zimekwenda wapi? Kizazi hakijirudii
John Moshoe, Erick Tincler, Mark Fish, Lucas Radebe, Mark Williams, Andre Arendse.Dr khumalo
Katika vipaji nilivyokuwa navikubali ni Nii Lamptey!Watu wamepita stiven keshi waqt yupo ubelgiji alikuwa anakaa ghetto na washkaji kibao nae ndio siri ya mafanikio ya wachezaji wengi wa nigeria na ghana wa waqt huo mmoja wao ni Nii ordatey lamptey ghana chama cha soka kilimletea figisu figisu akatokea nigeria kwa msaada wa keshi akakwea pipa na kwenda ugelgiji
Huyu Mwila Numba na Moses Chikwalakwala zilikuwa namba nyingine kabisa RIP [HASHTAG]#team[/HASHTAG] kali # team kubwa iliyotisha.Afford Chabala
Peter Mwanza/Watson Changwe
John Soko
Harrison Chongo
Mulenga Eston
Derby Makinka
Numba Mwila
Denis Watikayen/Denis Lotta
Kalusha Bwalya
Charles Musonda/Kelvin Mutale'Bomber'
Mosses Chikwalakwala
Umenikumbisha mbali sanaaa KK 11.Hapo kwa
Kelvin mutale umenikumbusha mbali alikuwa bwana mdogo tu miaka 19 ndio katoka kupiga hat trick ndio janga hilo la Gabon likatokea . Charles musonda alikuwa ubelgiji na ikawa ataungana na wenzie huko huko ndio ponea yake pia kulikuwa na mchezaji jina limenitoka alikuwa kambini kabisa na uhakika wa safari alikuwa nao ikatokea akastua ankle basi ikabidi abaki ndio pona yake . Hapo hujanitajia mtu mmoja wa kuitwa moses chikwalakwala na webby chikabala hiyo kk eleven ilikuwa moto
Hahahaaaa watu mnakumbuka mbali sanaaa! Ndiefi alikuwa kisiki, mithilo ya nsajigwa kibongo bongo!kuna mtu mmoja alikua msumbufu sana.anaitwa Ndiefi wa pale Cameroun ha ha ha ah
Nii Lamptey alipotea haraka sana kwenye ulimwengu wa soka, jamaa alikuwa na kipaji cha hali ya juuKatika vipaji nilivyokuwa navikubali ni Nii Lamptey!
Mie nakumbuka jinsi victor Ikpeba alivyokosa penati yake dhidi ya Cameroon katika fainali ya Afcon mwaka 2000
![]()