Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Ni kweli, Mpande bado you hai
 
Mwalimu (Mr) Mwaipopo (Head master Iyunga Secondary class of 1985-88)

Dah huyu jamaa ni kama alikuwa anachapa Kwemye Mfupa..

NAjua kwa sasa ni vigumu kuwa Hai aisee RIP kama umetangulia kama upo Mungu akujalie Afya njema..
Nilijifunza mengi kupitia kwako.
 
Hicho chuma namba tano nakielewa vizuri sana, Mpande alikuwa noma kama sio fimbo ni mkono mkono mpaka kieleweke, tuliopita MTS kipindi chake tunamjua vizuri
 
Fungua PM nikuthibitishie sis 🙏🏿
 
Bora wewe alifanikiwa kukushape tabia, mimi alishindwa kabisa ilikuwa vita kali sana, ila baadae nilijiona mimi ndio mjinga
 
Mabagala Pugu secondary hiyo
Afu kuna mwehu alikuwa anaitwa Nampanda ana maneno balaa mswahili sana
Kuna jamaa akamwambia dogo wa form one aende kwa Mabagala akamwambie mwalimu naomba bagala moja dogo alikua hajui jina la mwalimu, Nampanda anakuambia nakupiga uende nyumbani kwenu ukamwabie dadako/mamako kwamba me ndo Nampanda hahaha yule mzaramo alikuwa na maneno sana ijumaa ikifika analeta TV dining anaonyesha movie wanafunzi mnalipia
 
Kuna Mwl Cosmas Isaya Cosmas kutoka Malagarasi Secondary School 2010-2012. Ni balaaa, fimbo ni ngumi.
 
uli na myaka yinga shimba ya buyenze?

usikute umelingana na babu yangu wa 1940s
 
Rama SB Mgallawe Matolo Sec Rombo hiyo....huyo mtu angeweza kuongoza nchi mpaka samaki wote wangetii
 
Umeona eh! Sasa mitoto ya siku hizi ikiguswa tu kidogo,wazazi wanaibuka na mashoka. Ndo maana akili kisoda. Enzi hizo sasa,wambie wazazi kwamba umechapwa! Dadeki. Hapo hapo kichapo kingine kinakuhusu.
 
Mwl Kanyaboya, alikuwa mwl wa Brass Band Tabora Boys miaka ya 1990. Alikuwa mlemavu wa Mguu mmoja alikuwa anatukana matusi balaa. Ila katika maswala ya muziki alikuwa mzuri sana.
 
9. Mwalimu Kibega - Makumira secondary, Arusha.
10. Mwalimu Kijogoo - Makumira secondary, Arusha.
 
Muddy physics
Mchwampaka
Mkandawile
Afande Miraji (rip)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…