Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Ningeshangaa sana kama usingemtaja Mwalimu Mpande wa Moshi Technical, daah umenikumbusha mbali sana japokuwa umri umeenda sasa ila sitakaa nimsahau huyu mtu. Alikuwa noma sana na usemi wake eenhe bwaana..[emoji1][emoji1], mara ya mwisho nilikutana naye pale Moshi mjini Fresh coach 2018 nikamtupia wekundu kadhaa, alinishape sana kitabia namshukuru kwa kweli may be leo nisingekuwa hivi nilivyo. Live longer Mr. Mpande
Peke yako nimekuelewa kiongozi. Wengine wanamwaga tu lawama kwa walimu wao kama walionewa all the time.

Tuwe na shukrani kwani baafhi yetu bila ukali wa hao walimu tusingefika tulipofika.

Asante sana mwalimu wangu Eddy wa shule ya msingi Lifua. Sijui uliko kwa sasa. Hisabati zako zinanifanya niwe mtu mbele za watu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom