Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Jamaa alikuwa anazingua kinoma,nimeenda kuchukua Cheti changu cha form six,ananiambia nadaiwa na sidaiwi,nikampoza buku 5 akatulia.[emoji1787]
 
Mwalimu NESTORY a.k.a sura mbaya na misemo yake maarufu kwaata amatwe au kwaata empambo miaka hiyooo pale zamzam shule ya msingi-bukoba mjini
 
Mzee Kaishozi Dodoma Sec, enzi zake alitisha Dodoma yote.
 
Hivi ninyi mnaokuwa mnapinga kila hoja inayowekwa mezani, hivi mnakuwanga mmetokea mkoa upi? Kila kitu ni Hapana. Dah!
Napinga kwa kuwa nina uhakika wa hicho kitu, nimekutana na Walimu wa aina hiyo kadha wa kadha lakini hawakuwa na sifa hizo!
 
MchwaMpaka - Azania Boys
Fuvu - Azania Boys
Komba - Kolila
Bwenge - Jitegemee
 
Kuna mwalimu aliitwa Limota,Shambalai high School,2013
Waliokuwepo pale watakua wanamkubuka vyema
 
Bila kumsahau Mwl. Antoni Magambo 1990's -Headmaster Kwiro Sec, baadae nasikia alihamia Pugu Sec. alikuwa Mwamba kwelikweli.
 
Kuna Dudu Tosamaganga
Hata Umbwe Secondary alikuwepo ticha anaitwa Malya, a.k.a "Dudu" au "Lobilo" alikuwa ni balaa sana, akikudaka outdoor au Kombo huna shule. Mwingine Protas Swai au tulimwita "Protii" nae ilikuwa habari nyingine.

Kuna siku Protii alinidaka Moshi Town sina uniform wala get pass, nilipigwa "paa" ya wiki tatu na nilivorudi nikapewa na kisiki, sitaki kukumbuka.
 
Mwalimu James okwera

Sengerema sec school 2016

Huyu jamaa alikua ni ntu ya kazi
 
Wa Ilboru ni Lusujaki Olengavuji a.k.a Chief (R.I.P)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…