Mi nakumbuka taarifa ya habari ikianza tu ile kusikia sauti ya mtangazaji tunaanza kukisia jina lake kabla hajajitambulisha. Yaani ilikuwa kama mchezo fulani hivi burudani tupu enzi hizo.
watoto wadogo tulikuwa tumekariri ratiba ya redio tanzania karibu ya wiki nzima!!huulizi kuwa ikitoka taarifa ya habari inakuja nini?? unajua tu ni mazungumzo baada ya habari(taarifa ya habari ya saa mbili usiku)!!maneno hayo,ilikuwa ni kabla au baada ya kipindi cha michezo,sikumbuki vizuri!!Mazungumzo baada ya habari ilikuwa ni mpaka ufikirie kidogo kwa muda ndo utaelewa anazungumza nini......................!!dah i liked those moment,we cherished
Kuanzia leo jiite "kijana wa njaa ". Unamchanganya Mshindo Mkeyenge na Juma Nkamia kwenye enzi hiyo hiyo huku unamsahau Danstan Tido Mhando?! Na kumbuka kuna masahihisho mengi tu zaidi ya hayo niliyoyataja. Ungekuwa jirani....
Ume edit! Pamoja na hayo, kesi nyingine inayohusiana na kuchanganya enzi hujajibuKaka Tido nimemtaja angalia line ya kwanza.
Ume edit! Pamoja na hayo, kesi nyingine inayohusiana na kuchanganya enzi hujajibu
Tuandikie na vipindi walivyoviongoza,mfano Debora Mwenda ~ mama na mwana[hadithi: adili na nduguze,bibi aga etc] nakumbuka zamani...
Angalieni Mpendu alikuwa ni fundi mitambo au mtangazaji?Sara Dumba, Jacob Tesha, Seleman Hega, Danstan Tido Mhando, Seleman Kumchaya, Peter Makorongo, Charles Hillary, Omary Jongo, Ahmed Jongo, Sango Kipozi, Masoud Masoud, Aloisia Isabula,Aloisia Maneno, Debora Mwenda, Mikidadi Mahamoud, Juma Nkamia, Swedi Mwinyi, Ahmed Kipozi, Dominic Chilambo, Bati Kombwa, Nadhir Mayoka, Abdallah Majura, Michael Katembo,Abisae Steven, Abdallah Mlawa,Nassoro Nsekeli,Bujaga Izengo Kadago,David Wakati,Khalid Ponera,Christina Chokunogela,Ahmed Kipozi,Siwatu Luwanda,Salim Seif Nkamba,Salama Mfamao,Bartholomew `Bati KombwaAhmed Jongo,Dominic Chilambo,ngalieni Mpendu,Sekioni Kitojo,Chisunga StevenEdda Sanga,Mikidadi Mahmoud,Mshindo Mkeyenge....................Wengine ongezeeni
Sara Dumba, Jacob Tesha, Seleman Hega, Danstan Tido Mhando, Seleman Kumchaya, Peter Makorongo, Charles Hillary, Omary Jongo, Ahmed Jongo, Sango Kipozi, Masoud Masoud, Aloisia Isabula,Aloisia Maneno, Debora Mwenda, Mikidadi Mahamoud, Juma Nkamia, Swedi Mwinyi, Ahmed Kipozi, Dominic Chilambo, Bati Kombwa, Nadhir Mayoka, Abdallah Majura, Michael Katembo,Abisae Steven, Abdallah Mlawa,Nassoro Nsekeli,Bujaga Izengo Kadago,David Wakati,Khalid Ponera,Christina Chokunogela,Ahmed Kipozi,Siwatu Luwanda,Salim Seif Nkamba,Salama Mfamao,Bartholomew `Bati' Kombwa
Ahmed Jongo,Dominic Chilambo,ngalieni Mpendu,Sekioni Kitojo,Chisunga Steven
Edda Sanga,Mikidadi Mahmoud,Mshindo Mkeyenge....................Wengine ongezeeni
Hata mie si perfect, so tukubali yaisheOkay n irekebishe i am not perfect ni mawazo yangu broda.
Naona umemsahau EZEKIEL MALONGO. Alikuwa akitangaza mpira na J.NKAMIA MZEE WA MAGUU 12!! Yaan utataman mpira uchezwe siku nzima!Sara Dumba, Jacob Tesha, Seleman Hega, Danstan Tido Mhando, Seleman Kumchaya, Peter Makorongo, Charles Hillary, Omary Jongo, Ahmed Jongo, Sango Kipozi, Masoud Masoud, Aloisia Isabula,Aloisia Maneno, Debora Mwenda, Mikidadi Mahamoud, Juma Nkamia, Swedi Mwinyi, Ahmed Kipozi, Dominic Chilambo, Bati Kombwa, Nadhir Mayoka, Abdallah Majura, Michael Katembo,Abisae Steven, Abdallah Mlawa,Nassoro Nsekeli,Bujaga Izengo Kadago,David Wakati,Khalid Ponera,Christina Chokunogela,Ahmed Kipozi,Siwatu Luwanda,Salim Seif Nkamba,Salama Mfamao,Bartholomew `Bati KombwaAhmed Jongo,Dominic Chilambo,ngalieni Mpendu,Sekioni Kitojo,Chisunga StevenEdda Sanga,Mikidadi Mahmoud,Mshindo Mkeyenge....................Wengine ongezeeni