Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

35. Mjomba Godfrey Mgodo
36. Suleiman Kumchaya
37. Omary Masoud Wa Jawewa -Michezoo yeetu! RIP
38. Mikidadi Mahmoud
39. Suleiman Hega
40. Suleiman Kihemba


Wee acha tu !!
 
Kumbe Nawaz ilikuwa ni ya huyu Bakhresa! nakumbuka mjomba wangu alikuwa akinipeleka pale kupata Ice creamn, nakumbuka ukiingia unajitilia mwenyewe ice cream kwenye vimashine fulani hivi. inatoka kwenye vibomba.

Nawaz ndo SS Bakhresa kaanzia hapo baada ya kutoka huko kwao Pemba alikokuwa akishona viatu...alidhamini hilo pambano la Simba na Yanga.....Nawaz na Azam...
 
kitu cha saa 4 asubuh, kama sikosei j.2, kitu cha wakati umewadia wa hospt, leo tunawapa pole, halafu kuna yule jamaa wa baraaaa balabala kabisa, mpnz msikilizaji karibu kwenye kipindi da kimenitoka jina kilikuwa sa 8 mchana.
 

wapi Crispin Lugongo aka Tumbwisa,sylvanus haule,Aloysia Maneno?kweli RTD ilikua kiboko aisee dah haitakuja jirudia Maskini Abisai Stephen alishafariki kweli hawa watu inabidi waenziwe sana
 
Enzi hizo kukosa uwanjani ni mwiko, saa tisa umeshaingia uwanjani zamaani, unamsilikizia tu chilambo, "Mpenzi msikilizaji hapa ninapikupa mawili matatu kuhusiana na mtanange huu kati ya TP Lindanda na Malindi ya Zanzibar, misululu ya watu ni mirefu inafika hadi barabara ya furahisha"

Ile timu ya Pamba haitakaa itokee tena sio mwanza tu Tanzania yote haitakuwepo timu kama pamba ya wakati ule


 
kumbe pascal mayala aliwahi kutangaza RTD?


Salama Mfamao RIP
Aloysia Isabula
Aloysia Maneno
Peter Makorongo
Suleiman Kumchaya
Juma Ngondae RIP
Mshindo Mkeyenge
Abdallah Mlawa
Siwatu Luanda RIP
Salim Mbonde
Omary Masoud RIP
Pascal Mayalla
Adam Mwaibabile
etc....
 
Idhaa ya Taifa,idhaa ya kiswahili,..External service.Ifikapo saa 6mchana 'noon spin'.huo ni muda wa kupata muziki wa kizungu:madona,atlantic star,nk.
 
Takribani miaka kumi hv iliyopita,kabla rtd haijabadilishiwa jina na kuitwa tbc 2,alikuwepo mtangazaji mahiri wa habari za michezo na msoma taarifa za hbr nguli aliyeitwa ezekiel malongo.Huyu mwanahabari alinikosha sana enzi zake lkn siku hz simsikii kabisa na siju alikimbilia wapi.Mwenye taharifa zaidi kumhusu anijuze.
 
Pasco atakujibu hii mada yako mtafute kwa PM
 
Ukiyaona majina haya yanakukumbusha wapi pia ulikuwa unafanya nini?
Aboubakar Lyongo
Malima Ndelema.,Ezekiel Malongo,Sekion
Kitojo,Tumbo Risasi,Betty Mkwasa,Halima
Kihemba,Deborah Mwenda,Sued Mwinyi,Sarah
Dumba
Julius Nyaisanga,Charles Hillary,Richard
Leo,Ahmedi Jongo,Salimu Mbonde,Eshe
Muhidin,Florian Kaiza,David Wakat,January
Constatine,Lando Mabula ,Ben Kiko
Abisai Steven,Nswima Ernes,Mohamed
Kisengo,Ahmed Jongo,Christna Chokunogela,Sha
ban Kisu,Jakob Tesha,Dominic Chilambo,Fatma
Kipozi,Abdul Ngalawa,Omari Jongo. David Wakati,Juma Nkamia,Elisia
Isabula,Aisha Dachi,Aloisia Maneno,Shida
Matamba,Tido Mhando,Enzi
 
Ha ha ha haaaaa! Hapo kwa Ben kiko, Juma nkamia, Julius Nyaisanga (abood radio na Tv) Ezekiel Malongo na mbwembwe za michezo.....kipindi hcho npo zang shule ya msngi na redio mkulima ya mbao aliyokuja nayo father kutoka mgodini s.Africa wenyew waliita Joni badala ya Johanesburg nikikumbuka nacheka sana
 
mmh wakuu mmenikumbusha mbali sana.duh!!!!jf is very interesting@*#%%%%
 
Deborah Mwenda,
Sarah Dumba,
Julius Nyaisanga,
Charles Hillary,
Florian Kaiza,
Tumbo Risasi,
Halima Kihemba,
Betty Mkwasa,
January Constatine,Juma Ngondae,
Lando Mabula,
Ben Kiko,
Abubakar Lyongo,
Sued Mwinyi,
Abisai Steven,
Nswima Ernest,
Malima Ndelema,
Richard Leo,
Mohamed Kisengo,
Ahmed Jongo,
Christna Chokunogela,
Shaban Kisu,
Salim Mbonde,
Sekion Kitojo,
Dominic Chilambo,
Michael katembo,
Halima mchuka,
Ahmed Kipozi,
Fatma Kipozi,
Ezekiel Marongo,
Abdul Ngalawa,
Omari Jongo,
Abdala Majurah.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…