Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Nawaz ilikuwa ni ya huyu Bakhresa! nakumbuka mjomba wangu alikuwa akinipeleka pale kupata Ice creamn, nakumbuka ukiingia unajitilia mwenyewe ice cream kwenye vimashine fulani hivi. inatoka kwenye vibomba.
Kwa vijana wa zamani. Unakumbuka nini unapopitia majina haya? Je, yuko wapi kwa sasa? Unamkumbuka katika kipindi kipi kilichokufurahisha?
1. Bujaga Izengo Kadago
2. Debora Mwenda
3. Sarah Dumba
4. Julius Nyaisanga
5. Charles Hillary
6. Eshe Mhidini
7. Frolian Kaiza
8. Tumbo Risasi
9. David Wakati
10. Halima Kihemba
11. Betty Mkwasa
12. January Costantine
13. Lando Mabula
14. Ben kiko
15. Abubakary Lyongo
16. Sued Mwinyi
17. Abisai Stevin alishafariki
18. Nswima Ernest
19. Malima Ndelema
20. Richard Leo
21. Ahmed Jongo
22. Christina Chokunogela
23. Shaban Kissu
24. Jacob Tesha
25. Sallim Mbonde
26. Sekion Kitojo
27. Omary Jongo
28. Abdalla Majura
Moja kwamoja kutoka uwanja wa CCM Kirumba mwanza, uwanja wa nyumbani wa wana Tupisa Lindanda;
Golkeeper yuko Paul Rwechungura, akisaidiwa na Fullback right David Mwakalebela na Fullback Left Saleh Muddy Saleh (Saleh Muhammad). Half back four yuko Goeerge Magere Masatu na Sentahafu yuko Abdallah Bori. Half Back six yuko Hussein Aman Marsha wakati right wing yuko Hamza Mponda. Inside right; nambari nane huyu, yuko Nico Bambaga wakati sentaforward yuko Kitwana Suleiman "Popat", Khalfan Ngassa yuko Inside left na Left wing yuko Beya simba/Nteze John Lungu.
Hawa jamaa acha kabisa, Pamba ilikuwa na hazina ya wachezaji ambao rekodi yao haijawahi fikiwa na timu yoyote hapa Tanzania. Wengine ni akina Madada Lubigisa, Rajab Msoma, Alphonce Modest(Beki mtulivu/mstaarabu), Mao Mkamy "Ball Dancer", Goerge Gole "Double G" Fumo Felician, Pascal mayala, Hamisi Nyembo, Pamba mko wapi jamani.
Frank Kirumbi
Salama Mfamao RIP
Aloysia Isabula
Aloysia Maneno
Peter Makorongo
Suleiman Kumchaya
Juma Ngondae RIP
Mshindo Mkeyenge
Abdallah Mlawa
Siwatu Luanda RIP
Salim Mbonde
Omary Masoud RIP
Pascal Mayalla
Adam Mwaibabile
etc....
club ya leo shooow.
Ni Idd Rashi Mchatta,kwenye soka alikuwepo Kassim Mchatta