Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji28] [emoji1] kwani kua bibi kunabadili jinsia???Ha ha ha! Kwa ile post yako huwezi kuwa dada. Utakuwa bibi ...
Suala hapa ni jinsia au umri? Dada na bibi ni vitu viwili tofauti usitake kutuyeyusha. Yaani wewe umemsikiliza Mwl. live na yale maneno yake maarufu ya "... sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo ..." halafu leo hii uwe dada! Maajabu![emoji1] [emoji28] [emoji1] kwani kua bibi kunabadili jinsia???
Ama kweli wewe bado unatumia lactogen, kwann unachezea simu za wakubwa??? Utachapwa sasa hivi. Kwa mjadala wooote toka awali hadi sasa kuna sehemu yoyote ya kubishana umri? Afu ujue mi ni bibi yako kwanini ulumbane na wakubwa? Hujafundwa ww kuwaheshimu wanaokuzidi? Huna hoja piga kimya mtoto, tuache sie wazee tukumbushane enzi zetu za ngoma ya ukae, wee saka uzi wa natafuta kiki humu haumo atii.Suala hapa ni jinsia au umri? Dada na bibi ni vitu viwili tofauti usitake kutuyeyusha. Yaani wewe umemsikiliza Mwl. live na yale maneno yake maarufu ya "... sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo ..." halafu leo hii uwe dada! Maajabu!
mkuu mswima bado yupo hai yupi SumbawangaMh hii post ya mwaka 2013. Lkn ina jina la aliyefariki jana. Hii ikoje?
Mswimah Ernest(majira)
Hivi kile kipindi cha MAZUNGUMZO BAADA YA HABARI kilikua kikiletwa na mtangazaji gani? Kwa mwenye kujua atujuze please!
Joseph kambanga...yukowap hyuKweli aise, mtangazaji alikuwa hawezi kuanza kipindi hadi amtambulishe fundi mitambo na anapomaliza kipindi lzm amshukuru.... wapi Lando Mabula
Hassan Nkumba (R.I.P)
We Kamukulu alikufa? Namkumbuka alikuwa the people station(Clouds Fm)
Mkuu nimekukubali. Wee umekula chumvi.Abdul ngarawa
juma ngondae
seif nkamba
suleiman hegga
salim mbonde
ahmed jongo
mshindo mkeyenge
goodfrey mgodo
jacob tesha
david wakati
salama usamao
nassoro isekeli
nadhir mayoka
sekiy?ni kitoje
chisunga stephen
ben kiko
siwatu luanda
ahmed kipozi
halima kihemba
muhammed dahman
muhammed abdulrahman
suleiman mhongora
stephen kaiza