Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

fd1b7edbbbeef5d097a5e34707079272.jpg
ecdb09d3b43c860699d6c9d71981d1f5.jpg
e159cada1fcaff7d6ea9119d7e601225.jpg
 
[emoji1] [emoji28] [emoji1] kwani kua bibi kunabadili jinsia???
Suala hapa ni jinsia au umri? Dada na bibi ni vitu viwili tofauti usitake kutuyeyusha. Yaani wewe umemsikiliza Mwl. live na yale maneno yake maarufu ya "... sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo ..." halafu leo hii uwe dada! Maajabu!
 
Suala hapa ni jinsia au umri? Dada na bibi ni vitu viwili tofauti usitake kutuyeyusha. Yaani wewe umemsikiliza Mwl. live na yale maneno yake maarufu ya "... sababu tunayo, uwezo tunao, na nia tunayo ..." halafu leo hii uwe dada! Maajabu!
Ama kweli wewe bado unatumia lactogen, kwann unachezea simu za wakubwa??? Utachapwa sasa hivi. Kwa mjadala wooote toka awali hadi sasa kuna sehemu yoyote ya kubishana umri? Afu ujue mi ni bibi yako kwanini ulumbane na wakubwa? Hujafundwa ww kuwaheshimu wanaokuzidi? Huna hoja piga kimya mtoto, tuache sie wazee tukumbushane enzi zetu za ngoma ya ukae, wee saka uzi wa natafuta kiki humu haumo atii.
 
Hv mama debora mwenda yuko wap kwa hadithi yule nilikuwa nakimbia mbio kuwah yzni saa 8:01; mchana hapo mwaka 1988 utaskia mama na mwanaaa,hadith za kina binti chura,mfalme kigongwe,alfu lela ulela,dada wawili wenye kijicho,akaja sembamba na safara za hatar,unyoyA wa kipanga aziz daah acha tu....longtym
 
Pia sijaona list za watu kama Nasoro Nsekeli,Goodliver Rwechungula
R.I.P
 
Abdul ngarawa
juma ngondae
seif nkamba
suleiman hegga
salim mbonde
ahmed jongo
mshindo mkeyenge
goodfrey mgodo
jacob tesha
david wakati
salama usamao
nassoro isekeli
nadhir mayoka
sekiy?ni kitoje
chisunga stephen
ben kiko
siwatu luanda
ahmed kipozi
halima kihemba
muhammed dahman
muhammed abdulrahman
suleiman mhongora
stephen kaiza
Mkuu nimekukubali. Wee umekula chumvi.
 
Mimi namkumbuka mmoja tu lenadi Mambo mbotela na kipindi chake je huu Ni ungwana?
 
Mi naona kuna huyu alfred masako!!masau bwere!! Cosmas makongo!!george marato!! Hemed kivuyo!! Alafu kuna mmoja anaripoti b.b.c kutoka d.r.c congo !!anaitwa asfono marika yaani jina lake sijalikariri vizuri!!alfu kuna mwingine wa douch wele nae kutoka ben huko kivu huko nae namkubali sana!!!
 
Wee shushushu v.i.p huyo ezekiel mwalongo keshakufaga tena aliugua sana asee[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom