Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Dah! Nilikua ctaki kupitwa na reporter toka TBR Ben kiko, Tumbo Risasi KGM, Restuta Bukoli SHY na watangazaji kama dkt. Roy Hilaric Maganga kwenye sintosahau na usiku wa mahaba RFA na mapresenter wengine kibao kama Halima mchuka Ahmed jongo pia walikua the best kwangu
Oh yeah Tumbo Tamimu Risasi jamani! wengi Uncle J Nyaisanga. David Wakati, Juma Ngondae na bezi lake, na wengine weengi!
 
roy mlaliki maganga alikuwa redio free afrika alikuwa anatangaza kipindi cha sintasahau jumapili daaaaa cjui kwa sasa jamaa yupo wapiii
 
Kilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?

Aliolewa na mjerumani, anakula bata ujerumani
 
D
Kulikuwa na watangazaji mahiri kama kina Bujaga Izengo Kadago,Omar Jongo,Ahmed Jongo,Nadhir Mayoka,Rashid Idd Mchata,Edda Sanga,Salah Dumba,Bett Chalamila,Sunday Shomari,Omar Liongo,Abdalah Majura na wengine wengi tu
Duh! Betty Chalamila ndio Betty Mkwasa now. Bujaga Izengo Kadago hivi yupo? Last time nilimsikia akiwa radio ya SUA Morogoro, na Karim Besta akiwa Abood Morogoro
 
Kilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?
Suzan Mongi nafikiri yupo TBC na ana kacheo fulani hivi. Enzi hizo za ITV inaanza, alikuwa mrembo kweli. My sis alikuwa anacopy hair styles zake, akienda saloon anasema mnistyle kama Suzan Mongi kwenye taarifa ya habari jana. Simkumbuki sana yeye, ila nakumbuka my dada alivyokuwa akimcopy styles zake
 
swedi mwinyi, halima mchuka na Juma nkamia matangazo ya mpira hapo rtd,Anko jay,abdalla majura
 
Kilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?
kweli mkuu, macho na sauti yake zilifanya niangalie taarifa ya habari kila siku
 
Florian kaiza
Kabindore Kashinani
Ngombale Mwiru
Paul ....
Abdul Masoud
Abdul Baker
Dunstan ....
Miki Mahamud
Iddi Mchatta
 
Florian kaiza
Kabindore Kashinani
Ngombale Mwiru
Paul ....
Abdul Masoud
Abdul Baker
Dunstan ....
Miki Mahamud
Iddi Mchatta

Kabendera Shinani

Ni marehemu sasa na liwahi kuwa na kesi ya kupiga kura huku akiwa si raia wa Tanzania mwaka 2000.

Baadae akazama ziwani Victoria katika mazingira ya kutatanisha.
 
Suzan Mongi nafikiri yupo TBC na ana kacheo fulani hivi. Enzi hizo za ITV inaanza, alikuwa mrembo kweli. My sis alikuwa anacopy hair styles zake, akienda saloon anasema mnistyle kama Suzan Mongi kwenye taarifa ya habari jana. Simkumbuki sana yeye, ila nakumbuka my dada alivyokuwa akimcopy styles zake
Kilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?
Ni Mungi sio Mongi
 
Kabendera Shinani

Ni marehemu sasa na liwahi kuwa na kesi ya kupiga kura huku akiwa si raia wa Tanzania mwaka 2000.

Baadae akazama ziwani Victoria katika mazingira ya kutatanisha.
I felt sorry for him kuna mgombea ububge mmoja sijui nani alitishia kumtoa kws mandata km angeandika hbr zake ndio akajiua. Nilikuwa napenda sana aliyvyokuwa anaongea
 
Back
Top Bottom