Oh yeah Tumbo Tamimu Risasi jamani! wengi Uncle J Nyaisanga. David Wakati, Juma Ngondae na bezi lake, na wengine weengi!Dah! Nilikua ctaki kupitwa na reporter toka TBR Ben kiko, Tumbo Risasi KGM, Restuta Bukoli SHY na watangazaji kama dkt. Roy Hilaric Maganga kwenye sintosahau na usiku wa mahaba RFA na mapresenter wengine kibao kama Halima mchuka Ahmed jongo pia walikua the best kwangu
ha ha haaaaa, hata miye nimeiona nikaiminyia kimya kimya naona mkuu umeamua kumtusua kabisa.Sala dumba ndo nani unakichaa ww
suzan mongi..
Kilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?
Duh! Betty Chalamila ndio Betty Mkwasa now. Bujaga Izengo Kadago hivi yupo? Last time nilimsikia akiwa radio ya SUA Morogoro, na Karim Besta akiwa Abood MorogoroKulikuwa na watangazaji mahiri kama kina Bujaga Izengo Kadago,Omar Jongo,Ahmed Jongo,Nadhir Mayoka,Rashid Idd Mchata,Edda Sanga,Salah Dumba,Bett Chalamila,Sunday Shomari,Omar Liongo,Abdalah Majura na wengine wengi tu
Suzan Mongi nafikiri yupo TBC na ana kacheo fulani hivi. Enzi hizo za ITV inaanza, alikuwa mrembo kweli. My sis alikuwa anacopy hair styles zake, akienda saloon anasema mnistyle kama Suzan Mongi kwenye taarifa ya habari jana. Simkumbuki sana yeye, ila nakumbuka my dada alivyokuwa akimcopy styles zakeKilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?
kweli mkuu, macho na sauti yake zilifanya niangalie taarifa ya habari kila sikuKilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?
Florian kaiza
Kabindore Kashinani
Ngombale Mwiru
Paul ....
Abdul Masoud
Abdul Baker
Dunstan ....
Miki Mahamud
Iddi Mchatta
Suzan Mongi nafikiri yupo TBC na ana kacheo fulani hivi. Enzi hizo za ITV inaanza, alikuwa mrembo kweli. My sis alikuwa anacopy hair styles zake, akienda saloon anasema mnistyle kama Suzan Mongi kwenye taarifa ya habari jana. Simkumbuki sana yeye, ila nakumbuka my dada alivyokuwa akimcopy styles zake
Ni Mungi sio MongiKilikuaga chuma hiki... Very byutiful. Enzi za akina marehem John Ngahyoma kule ITV. Hivi yule Asma Basafar aliendaga wapi yule mmama?
I felt sorry for him kuna mgombea ububge mmoja sijui nani alitishia kumtoa kws mandata km angeandika hbr zake ndio akajiua. Nilikuwa napenda sana aliyvyokuwa anaongeaKabendera Shinani
Ni marehemu sasa na liwahi kuwa na kesi ya kupiga kura huku akiwa si raia wa Tanzania mwaka 2000.
Baadae akazama ziwani Victoria katika mazingira ya kutatanisha.
Ni Mungi sio Mongi