Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 461
Nilidhani wa zamani kweli ili tutaje akina Hamza Kassongo, Sango Tua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama Mfamao RIP
Aloysia Isabula
Aloysia Maneno
Peter Makorongo
Suleiman Kumchaya
Juma Ngondae RIP
Mshindo Mkeyenge
Abdallah Mlawa
Siwatu Luanda RIP
Salim Mbonde
Omary Masoud RIP
Pascal Mayalla
Adam Mwaibabile
etc....
Yaani we ndo umenikumbusha enzi hizooooo............Kwa kweli siku zikipita na mambo yanapita. Kumbuka hilo shati la shule umeweka wanga au blue ling'ae.......!!!! halafu linadondokewa jivu...!!
TBC mi nadhan siyo mbaya kwani kuna KBC, UBC, SABC n.k n.kUmemshau,Salama Mpamao,si mbaya nikiwataja na hawa,Mzee Jangala,Kiatu,Tomato,Mshamu,Igunanilo,Mzee Mundu na wengineo ongezea.
TBC mi nadhan siyo mbaya kwani kuna KBC, UBC, SABC n.k n.k
Ila kwa wakati ule RTD ilibamba sana. Vipindi kama majira, jambo, mchana mwema,chaguo la msikilizaji, kutaja vichache vilinikuna sana.
nyanidume unashangaa nini
Wakati ule ilikuwa hivi: Hii ni ya Idhaa ya Biashara ya Radio Tanzania Dar es Salaam, sasa tunaungana na Idhaa ya Taifa kusikiliza Taarifa ya Habari. Baada ya kufutwa Idhaa ya Biashara ikaundwa External Service ya RTD.Baadae sana ndo ikaundwa PRT iliyounda TBC FM.Hata hivyo kwa sasa kuna pia TBC International kama replica ya External Services ya akina Abbisai Steven
kipindi cha pokea salamu kitu saa sita na ugali kwa mbaali unanukia....jioni saa moja moja kipindi cha kahawa yetu...