Bijou
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,248
- 360
Sanga?
Kuna wakati alikuwa Tume ya Uchaguzi wakati wa Kuravu, baadaye akawa hasikiki, labda ni freelance sasa, labda Pasco aje kusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanga?
...ewaaa.....right on!!...Ms Eda Sanga...hivi huyu yuko wapi hivi sasa?.......
Kuna wakati alikuwa Tume ya Uchaguzi wakati wa Kuravu, baadaye akawa hasikiki, labda ni freelance sasa, labda Pasco aje kusaidia
Duh mmenikumbusha mbali sana.nilikuwa nakipenda sana tena sana kipindi cha mama na mwana.sikumbuki jina la mtangazaji ebu nikumbusheni wajf.nilikuwa sikosi kipindi .yaani nakosa raha nisipokisikiliza .hivi yupo yule mtanganzaji?? Pia kile kipindi cha zilipendwa kila jumapili nilikipenda sana
Mkuu TBC haikuwepo kipindi hicho.
Acha kupotosha...
KBC unanikumbusha kipindi cha Je huu ni uungwana? na Leonard Mambo Mbotela
Nawakumbuka, asante kunikumbusha Mshindo Mkenyenge ndie nilimshau, Masoud na Juliasi niliisha waweka, not sure status ya Thecla maana aliishakuwa mtu mzima sana. Tido, Chama, Mngodo, Kipozi na Sango wapo!.pascal, hawa nao huwakumbuki? Dastan Tido Mhando, Chama omari Matata, Godfrey Mngodo, Teckla Gumbo, (Salim?- Mume wa Zamzam Maalim),Ahmed Kipozi, Julius Nyaisanga, Sango Kipozi, Abdul Omar Masudi, Mshindo Mkeyenge etc
Mwaka Jana Nakumbuka Alikuwa Pale Mlimani Akiwa Msimamizi Wa Mlimani Tv Na Redio. Na Mlimani Radio....... Hafikiri Atakuwa Pale
...ewaaa.....right on!!...Ms Eda Sanga...hivi huyu yuko wapi hivi sasa?.......
Aliajiriwa mwaka 1968 with the maiden name ya Edda Williams Ngulukulu, alikuja kuolewa na Sanga na kugeuka Edda Sanga, enzi hizi watangazaji wa habari walikuwa ni wanaume tuu, yeye ndio alikuwa mwanamke wa kwanza kutangaza habari RTD miaka ya 80's....ewaaa.....right on!!...Ms Eda Sanga...hivi huyu yuko wapi hivi sasa?.......
Nawakumbuka, asante kunikumbusha Mshindo Mkenyenge ndie nilimshau, Masoud na Juliasi niliisha waweka, not sure status ya Thecla maana aliishakuwa mtu mzima sana. Tido, Chama, Mngodo, Kipozi na Sango wapo!.
Pascal
Hee humu naona sasa wa miaka ile tunaanza kufahamiana, Dot com wakae kimya kabisaa! Enzi hizo RTD ilikuwa na watangazaji bwana, unapata raha hata kuisikiliza redio yako ya Taifa. Siyo sasa hivi yamejaa ma-mburula tu!! Jamani wapi BUJAGA IZENGO KADAGO? CHRISTINA CHOKUNOGELA (Binti alikuwaga na sauti tamu huyo enzi zile, nikatokea kumpenda kupita maelezo, mpaka home wakaniozesha kwake kila wakisikia sauti yake tu wanalipuka mkeo anatangaza!!). Jamani haya mamburula ya TBC hebu yajifunze kwa hawa watangulizi! PASCAL saidia hivi viumbe mkuu!
Aliajiriwa mwaka 1968 with the maiden name ya Edda Williams Ngulukulu, alikuja kuolewa na Sanga na kugeuka Edda Sanga, enzi hizi watangazaji wa habari walikuwa ni wanaume tuu, yeye ndio alikuwa mwanamke wa kwanza kutangaza habari RTD miaka ya 80's.
Alistaafu RTD na sasa ni mkurugenzi wa Mlimani Media.
Pasco.
Ya, mama huyu(kwa sasa ni mama) ni mtangazaji mahiri sauti imetulia, akisoma habari anatulia vituo kwa vituo. Jambo ambalo silipendi ni huu mfumo wa usomaji wa TBC ambapo wameondoa ule wa mwanzo wa kutaja eneo halafu habari yake inafuata na kuadapt ile ya habari kusomwa tu ndani yake ndo unajua tukio hili lilitokea Shinyanga. Zamani ilikuwa hivi
Mwaka Jana Nakumbuka Alikuwa Pale Mlimani Akiwa Msimamizi Wa Mlimani Tv Na Redio. Na Mlimani Radio....... Hafikiri Atakuwa Pale
Pascal Mayalla ni jina tuu, lakini wako Pascal Mayalla wengi.
Mimi ni yule Pascal Mayalla aliyekuwa RTD, pia namfahamu Pascal Mayalla fulani alikuwa JWTZ, yupo mwingine alisoma Urusi, kuna mwingine alisoma India, kuna mmoja aliishi US pale Maryland na mpaka leo mke wake yuko kule, kuna Pascal Mayalla aliyekuwa mtangazaji wa Kitimoto, yuko yule aliyekuwa TBC akifanya program za CCM, yuko Pascal Mayalla fulani ni mshauri wa siasa wa ubalozi wa Uingereza nchini, kuna Pascal Mayalla fulani ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, kuna Pascal Mayalla fulani alisoma sheria kwa miaka 4 pale UDSM, hadi kuna Pasco wa jf, naye nasikia pia sometimes akichanganywa na Pascal Mayalla, hivyo inategemea huyo unayemfahamu wewe ni yupi!, unaweza ukawa unamfahamu yule Pasco wa jf, ukifikiri ndiye Pascal Mayalla Mtangazaji, kumbe ni watu wawili tofauti!.
Pasco.
....................Asheri Stanley Chilewa.................Acha uongo kama wewe ukiwa unaisikiliza hii redio 24/7 huwezi kuandika ushuzi kama huo uliouandika...
nidhamu ndo msingi wa TBC.
Na Still kuna watu kama Acheli Shilewa, Masoud Masoud, Aloisia Maneno, Al anisa Shida Masamba na wengine weengi wanafanya vizuri still.
Pia kuna chipukizi kwa mfano Betty Tesha Mwinuka anafanya vizuuri mno kiasi kwamba hutachoka kumsikiliza akiwa anatangaza...
Njoo na uharo sasa...maana huo ushuzi haujabamba