grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Mzee wa Karate, nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 aliwahi kupanga nyumba maeneo ya Ubungo Maziwa karibu kabisa na Matank ya Tanesco.Swedi mwinyi aisee...jamaa ana kipaji cha ajabu cha utangazaji hasa anapotangaza mipira utapenda hawa wa sasa wanajitahidi kwa mbali ingawa maadili yao yako chini mnoo
Alihama bila kuaga majirani mara baada ya tank moja kulipuka mwaka 2003, moto uliozimwa na kikosi cha kuzima moto cha South Africa...