Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unaweza kuandika bila kulaza muandiko. Hongea Tate mkuu shegwashiUnaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake.
Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote hiyo 30+), basi atapatiwa kiasi cha shilingi milioni 33 tu. Na kiasi kinachobakia analipwa kila mwisho wa mwezi kwa muda wa miaka 12! Ikitokea mstaafu akafariki wakati wowote ule baada tu ya kustaafu, na hicho kiasi nacho kinakomea hapo hapo (Wizi wa mchana huu [emoji2960])
Halafu kichekesho zaidi ni kwamba hiki kikokotoo ni kwa baadhi tu ya Watumishi wa umma! Mfano walimu, Manesi, Maafisa ugani, nk.
Ukija kwa Vigogo wa ngazi za juu, mfano Wabunge; eti wenyewe hawahusiki na hiki kikokotoo! (Ona ubaguzi na upendeleo wa wazi huu [emoji2960]) Ingawa na wenyewe eti ni watumishi wa umma!! Yaani wenyewe kila baada ya miaka 5 ya Ubunge wao, wanapatiwa mafao yao yote yanayokadiriwa kuwa kiasi cha shilingi milioni 250 za Kitanzania!
Ukija kwa vigogo wengine wa juu zaidi; mfano Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, na sasa wake wa hao vigogo; ikitokea wamestaafu! Wanapewa mafao yao yote! Na kila mwezi wanalipwa mshahara wa 80% kama ule wa Kigogo aliyeko madarakani kwa wakati huo kwa maisha yake yote! (Ubaguzi mwingine huu [emoji2960])
Swali la kujiuliza!! Kwa nini serikali mnawafanyia wafanyakazi wenu uonevu na wizi wa mchana kiasi hiki?
Mkiulizwa, mnatoa sababu za kipuuzi tu; eti wafanyakazi wakipewa hela zao zote kwa mkupuo wanaishia kuzitapanya na kutapeliwa, na mwisho wa siku wanakuwa masikini!! Sasa hao wafanyakazi wastaafu wakizitapanya hizo hela zao, nyinyi mnapata athari gani? Je, waliwaomba muwatunzie kupitia hicho kikokotoo chenu cha wizi?
Na kama mnaona ni muhimu kufanya hivyo, kwa nini msifanye mpaka kwa Wabunge? Je, ni kwa mini msitoe uhuru kwa Wastaafu kuchagua kama wanataka kupewa 33% pekee, au mafao yao yote?
Binafsi nimeandika haya malalamiko baada ya kushuhudia wastaafu fulani hivi niliopanda nao daladala sehemu fulani, wakilalamika kwa uchungu baada ya kulipwa mafao kiduchu kwa mfumo wenu huu kandamizi wa 33%.
Ushauri wangu kwa serikali; rejesheni mara moja kikokotoo cha zamani. Acheni kuwadhulumu wastaafu pesa zao.
serious ?Ukifa kabla ya hiyo miaka hela zinakua zimekwenda na maji
HIyo sijuwi lumpsum,lapusamu hatuiiataji tunataka mzigo wetu wote tutajuwa wenyewe huko cha kufanya.We kama unakipenda kitumie.Acha uongo, mfano ma prof vyuoni walipata mpaka mil 30 tu. Kwa ufupi kila mfuko ulikuwa na fomula yake, ila kwa sasa inatoa fursa sawa. Nimemtukana kwa sababu ni mjinga anapotosha watu. Kikokotoo cha sasa kinamuwezesha mstaafu kuishi bila wasiwasi kwa sababu monthly pension ni kubwa na mstaafu akiiwekeza vizuri lumpsum kwenye miradi mbali mbali inamlipa vizuri hata kama ikitokea lumpsum imeisha anaweza kuishi vizuri. Mleta maada aacha uzuzu
I wish ungekuwa ni mstaafu, halafu ukasema hivi; ningekuelewa sana. Ila naheshimu maoni yako.Huu utaratibu ni mzuri sana. Nimeupenda na hongera kwa aliyeuweka. Kusema ukweli kumpa mfanyakazi eg sh milioni 100 zote kwa mkupuo ni hatari sana. Sh milioni 100 ni fedha nyingi sana kwa mlalahoi na anaweza kuzimia mara anapokabidhiwa kwa sababu alizoea kushika elfu laki mbili. Pia ni kuhatarisha afya ya watanzania na kuwafanya kunenepa kwa kula sana. Viongozi wakubwa ndiyo wanatakiwa kupewa fedha nyingi.
Maliza kabisa.. weka figures.Formula
[1/580]×N×APE×12.5×33%
Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed
Wewe sio chawa wa mama tu, we ni kunguni na kiroboto wa mama pia.Wewe idiot huna elimu ya kikokotoo, ni mbumbu na lijinga. Kikokotoo ni kizuri sana. Imagine anayelipwa mil 1,300,000 kwa mwezi anakuja kupokea 46 mil kama lumpsum, na bado kila mwezi atapata kama 500k, hivi huyu mtu akiamua kuiwekeza hiyo 46m kwenye duka au mifugo si atatengeneza kama laki tano zingine ukijumlisha anapata kama mil moja, compare na wakati wa ajira ana pungukiwa hela kidogo tu. Na hapo anakuwa na uhakika na cashflow yake.
Nimepiga kijembe ndugu yangu. Unadhani yametoka moyoni? Anyways, mimi msimamo wangu ni kuwa CCM inachezea na kudarau watazania kiasi ambacho inaweza kufanya vitu vya kufikirika. Hebu fikiria wana mpango wa kununua tena eti ndege ya viongozi? Kwa upande mwingine ni vizuri wanavyofanya ili wananchi waamke na kujitetea. Tumekuwa kama makondoo.I wish ungekuwa ni mstaafu, halafu ukasema hivi; ningekuelewa sana. Ila naheshimu maoni yako.
Wabunge wote wasirudishwe bungeni 2025Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote hiyo 30+), basi atapatiwa kiasi cha shilingi milioni 33 tu. Na kiasi kinachobakia analipwa kila mwisho wa mwezi kwa muda wa miaka 12! Ikitokea mstaafu akafariki wakati wowote ule baada tu ya kustaafu, na hicho kiasi nacho kinakomea hapo hapo (Wizi wa mchana huu 🤭)
Halafu kichekesho zaidi ni kwamba hiki kikokotoo ni kwa baadhi tu ya Watumishi wa umma! Mfano walimu, Manesi, Maafisa ugani, nk.
Nipo kwenye Msiba wa Dk. Diodorus Buberwa Kamala. Ukiisha nitaweka ukweli.Uweke ukweli Mkuu...
Ahahahahaha!!!Uandike huo ukweli basi ili uongo wangu uonekane hadharani. Kinyume na hapo, basi nitaamini na wewe ni wale wale tu mnaowasababishia wastaafu maumivu, kwa sababu tu ya ubinafsi wenu.
MKUU MAMA ANAUPIGA MWINGI.....,NILISHASEMA NA LEO NARUDIA CCM WOTE NI MAJIZI HAWAJAWAHI KUWA NA UCHUNGU NA UMASKINI WA WATANGANYIKA, HAWA NI KUNDI LA PANYA WANAJALI MATUMBO YAO TU.NA FAMILIA ZAO, CCM NI WATAWALA NA SIO VIONGOZIUnaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake.
Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote hiyo 30+), basi atapatiwa kiasi cha shilingi milioni 33 tu. Na kiasi kinachobakia analipwa kila mwisho wa mwezi kwa muda wa miaka 12! Ikitokea mstaafu akafariki wakati wowote ule baada tu ya kustaafu, na hicho kiasi nacho kinakomea hapo hapo (Wizi wa mchana huu 🤭)
Halafu kichekesho zaidi ni kwamba hiki kikokotoo ni kwa baadhi tu ya Watumishi wa umma! Mfano walimu, Manesi, Maafisa ugani, nk.
Ukija kwa Vigogo wa ngazi za juu, mfano Wabunge; eti wenyewe hawahusiki na hiki kikokotoo! (Ona ubaguzi na upendeleo wa wazi huu 🤭) Ingawa na wenyewe eti ni watumishi wa umma!! Yaani wenyewe kila baada ya miaka 5 ya Ubunge wao, wanapatiwa mafao yao yote yanayokadiriwa kuwa kiasi cha shilingi milioni 250 za Kitanzania!
Ukija kwa vigogo wengine wa juu zaidi; mfano Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, na sasa wake wa hao vigogo; ikitokea wamestaafu! Wanapewa mafao yao yote! Na kila mwezi wanalipwa mshahara wa 80% kama ule wa Kigogo aliyeko madarakani kwa wakati huo kwa maisha yake yote! (Ubaguzi mwingine huu 🤭)
Swali la kujiuliza!! Kwa nini serikali mnawafanyia wafanyakazi wenu uonevu na wizi wa mchana kiasi hiki?
Mkiulizwa, mnatoa sababu za kipuuzi tu; eti wafanyakazi wakipewa hela zao zote kwa mkupuo wanaishia kuzitapanya na kutapeliwa, na mwisho wa siku wanakuwa masikini!! Sasa hao wafanyakazi wastaafu wakizitapanya hizo hela zao, nyinyi mnapata athari gani? Je, waliwaomba muwatunzie kupitia hicho kikokotoo chenu cha wizi?
Na kama mnaona ni muhimu kufanya hivyo, kwa nini msifanye mpaka kwa Wabunge? Je, ni kwa mini msitoe uhuru kwa Wastaafu kuchagua kama wanataka kupewa 33% pekee, au mafao yao yote?
Binafsi nimeandika haya malalamiko baada ya kushuhudia wastaafu fulani hivi niliopanda nao daladala sehemu fulani, wakilalamika kwa uchungu baada ya kulipwa mafao kiduchu kwa mfumo wenu huu kandamizi wa 33%.
Ushauri wangu kwa serikali; rejesheni mara moja kikokotoo cha zamani. Acheni kuwadhulumu wastaafu pesa zao.
Kama ulitakiwa kupata 150m wanakupa 45m ya Mkupuo. Hiyo 105m ndio wanakulipa kidogo kidogo Kwa miaka 12.5. Yaani hakuna Pensheni kama wale WA before 2022 July. Wale walipewa Mkupuo wao eg 150m na Pensheni ya kila Mwezi Hadi wafe. Za hawa Kikokotoo wameambiwa Walipewa zote Mifuko itafilisika. Hivi kwani Kwa Mwaka Wastaafu ni Wangapi? Inabidi Watengewe Bajeti Yao bcoz hawafiki hata elfu 10.Naomba kujua, hii wanayopewa kila mwisho wa mwezi kama sehemu ya 67% yao iliyobaki,
Inahusiana na ile 50%( Nusu ya mshahara aliokua anapata kipindi yupo kazini) anayoipata kila mwezi?
Mxiuuuuuu! Acha niishie hapa. Ukitia neno naanza upyaaa!Wewe idiot huna elimu ya kikokotoo, ni mbumbu na lijinga. Kikokotoo ni kizuri sana. Imagine anayelipwa mil 1,300,000 kwa mwezi anakuja kupokea 46 mil kama lumpsum, na bado kila mwezi atapata kama 500k, hivi huyu mtu akiamua kuiwekeza hiyo 46m kwenye duka au mifugo si atatengeneza kama laki tano zingine ukijumlisha anapata kama mil moja, compare na wakati wa ajira ana pungukiwa hela kidogo tu. Na hapo anakuwa na uhakika na cashflow yake.