Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

Namkumbuka bi mkubwa alikuwa anatuimbia karibia album yote hasa Moyibi,Armour Perdu na Eve Matoko nk kwenye album aliyoshirikiana na marehem Pepe Kalle
Mimi hizi alikuwa anasikiliza sana mzee, kuna ngoma moja ya TP Ok jazz wanaimba hivi "nalingi nabomelaka libala eh nasandoka matata na ngayi papa ya bana" unaweza kuwa unaifahamu jina ? ipo kwenye playlist moja ya franco inaitwa non stop
 
You nailed it

Ngoja nikandie kidogo

Matatizo mengo kazini yanatokana na mazoea ukiwa serious ni ngumu sana kupata matatizo ila ukiwa mambo ya utani kuzoea shobo mdundo kichele umeumia

Mimi kawaida yangu natoa mchango wa harusi na wala sihudhurii sijui party wala mavi ya sherehe junapili natoka na wanangu wa kitaa watu wa ofisi nawakacha wanajirundika na kutembea pamoja kama wale west life nj ushamba

Group wakianza mada za kudiss nakaa kimya na group la kitengo changu yaani tupo sisi tu kwa level fulani nimeleft nimekaa la staff wote mpaka boss yupo hivi vikundi vya pembeni kusengenya tu na ushamba

Ghetto wanakuja jamaa niliomaliza nao tukasota wote tumeajiriwa pamoja wale tumekutana kazini sipendi shobo

La mwisho sitongozi manzi yeyote sitaki dharau ugumu ugumu pale ofisi
 
Kwa nini sasa hutongozi? Au hujiamini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza mkuu. Wafanyakazi wenzako wafike nyumbani kwako pale tu inapobidi iwe hivyo labda kama umepata msiba basi na si vinginevyo. Lakini hayo mambo sijui kipaimara, ubatizo, maulid, n.k. unajitia kuwaalika ndugu yangu hiyo kazi utaiona chungu na mpaka uje kugundua shida ni hao wenzako uliowaalika nyumbani ndio wanakuzunguuka tayari utakuwa umeshashushwa cheo kama sio kufukuzwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…