NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
Na wewe unanipinga tena!! Aiseeh kweli tusiwe watu wakupinga kila kitu. Nimeukubali huu Uzi 100%Nenda kalale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unanipinga tena!! Aiseeh kweli tusiwe watu wakupinga kila kitu. Nimeukubali huu Uzi 100%Nenda kalale
Unazuia biashara ya Barakoa ya wenzako ili uchumi wao uyumbe, then unatutangazia vita uliyoianzisha wewe mwenyewe.... Naenda kulala mkuu!!Hii vita ipo miaka yote, wewe panua ubongo wako.
Hata wewe huvijui,umesikia tu magufuli akitamka na wewe ukasomba,magufuli mwenyewe haijui hiyo vita,naye alimsikia tu kabudi akiongea wakati ule tukidaiwa hela na mzungu(mkulima)alipokamata ndege (bombardier) tanzania inatoshana na malawi na zambia na msumbiji tu!! Hao ndiyo saizi yetu kivita na kiuchumi,yaani beberu liache kupambana na mabeberu mengine yanayotishia uchumi wake lije lipambane na masikini choka mbaya kama tanzania? Kwanza tanzania ina uchumi upi? Mbuga?wanyama? Bila watalii( mabeberu) kuja kutalii mtakula mbuga? Madini? Mnajua hata nani anayepanga bei elekezi ya tanzanite huko sokoni kwa wateja(mabeberu)? Mabeberu yakiamua tu kushusha thamani ya tanzanite yenu mtabaki nayo,mtachezea bao!! Unakumbuka kipindi cha vita ya ugaidi? Shortly after 9/11 ? Si walitishia tu kutonunua tanzanite kwa muda? Uliiona athari yake? Acheni ku masturbate ubongo nyie! Mnakonyeza konyeza tu wakati hakuna hata mtu anayewaangalia,mnaji koholesha koholesha umbea na hakuna hata anayewajali,stpdWe unavijua vita vya uchumi?
Watanzania mmepata Rais jiwe kweri kweri, Sishauriwi.waTanzania watakuchosha ndugu,upuuzi ni mwingi sana..watu hawastuki anaposema Rais kimesema kitu kikubwa sana,Rais ana watu wanaofatilia mambo na usalama wa nchi kuliko akili ndogo za ushabiki wa watu.
Naomba kukwambia wazi kabisa kuna watu wa kaskazini kati ya Arusha na Kilimanjaro wanapotosha sana umma kwa sababu za vyama na ukanda,hata wakija hapa na kunicomment kwa matusi ukweli wanaujua
Chanjo ya nini? Barakoa za ulaya za nini iwapo swala ni kufunika pua pekee?
Vijiweni kumejaa maneno ambayo ukimuuliza mzungumzaji anaishia kukuita wewe ni CCM. Yani hii nchi sijui ina watu gani
Rais anaposema namnukuu "mimi ni kiongozi wenu najua" anamaanisha mkono wake wa kujua mengi yanayo lengwa nchini ni mrefu sana maana serikali na taasisi yake si kama balozi ya nyumba kumi kumi.
Angekuwa hivyo kweli basi angejua mapema tu kuwa Kitwanga ni mlevi sugu!! Tusingeona hii teua tengua za kila siku kama tuonazo sasa,hao watu wake walikuwa wanakusanya sifa kipindi kile cha chadema!! Walikuwa watafiti mikutano ya upinzani tu,tupa kulewaTanzania watakuchosha ndugu,upuuzi ni mwingi sana..watu hawastuki anaposema Rais kimesema kitu kikubwa sana,Rais ana watu wanaofatilia mambo na usalama wa nchi kuliko akili ndogo za ushabiki wa watu.
Naomba kukwambia wazi kabisa kuna watu wa kaskazini kati ya Arusha na Kilimanjaro wanapotosha sana umma kwa sababu za vyama na ukanda,hata wakija hapa na kunicomment kwa matusi ukweli wanaujua
Chanjo ya nini? Barakoa za ulaya za nini iwapo swala ni kufunika pua pekee?
Vijiweni kumejaa maneno ambayo ukimuuliza mzungumzaji anaishia kukuita wewe ni CCM. Yani hii nchi sijui ina watu gani
Rais anaposema namnukuu "mimi ni kiongozi wenu najua" anamaanisha mkono wake wa kujua mengi yanayo lengwa nchini ni mrefu sana maana serikali na taasisi yake si kama balozi ya nyumba kumi kumi.
Anapokeaga ushauri wa mtu huyo?waTanzania watakuchosha ndugu,upuuzi ni mwingi sana..watu hawastuki anaposema Rais kimesema kitu kikubwa sana,Rais ana watu wanaofatilia mambo na usalama wa nchi kuliko akili ndogo za ushabiki wa watu.
Naomba kukwambia wazi kabisa kuna watu wa kaskazini kati ya Arusha na Kilimanjaro wanapotosha sana umma kwa sababu za vyama na ukanda,hata wakija hapa na kunicomment kwa matusi ukweli wanaujua
Chanjo ya nini? Barakoa za ulaya za nini iwapo swala ni kufunika pua pekee?
Vijiweni kumejaa maneno ambayo ukimuuliza mzungumzaji anaishia kukuita wewe ni CCM. Yani hii nchi sijui ina watu gani
Rais anaposema namnukuu "mimi ni kiongozi wenu najua" anamaanisha mkono wake wa kujua mengi yanayo lengwa nchini ni mrefu sana maana serikali na taasisi yake si kama balozi ya nyumba kumi kumi.
Mkuu punguza kila kitu kuchukulia positive, thinking capacity inapungua Sana kwenye jamii,sijui KWA nini, sio kila Jambo ni kulipamba alihali limesemwa, kupanua ubongo sawa ,ila unapanua ubongo bila kufikiri, kujudge, then kuja na hoja za kukubali au kukataa ?Hii vita ipo miaka yote, wewe panua ubongo wako.
Kabla ujazaliwa weweUmezaliwa lini?
Wewe na mkulu wako hamna akili sh$$###& nyie wapotoshaji na Watanzania sie sijui tumelogwa na nani jaman mbm hvi vitu vinavyiendelea ni vya kipumbavu sanaNashangaa sana kuona watu wazima mmeshupaza shingo kulaumu upuuzi.
Kwamba kama kuna shirika la viwango nchini TBS, kwa nini mkuu wa nchi atoe tahadhari juu ya barakoa ambazo zinaweza kuwa na madhara kwa watumiaji?
Hivi hamjui kuwa pamoja na kuwa na shirika la viwango nchini, bidhaa nyingi feki huwa zinaingia sokoni kupitia njia za panya. Na huwa zinaghundulika baada ya muda, tena mpaka msako ufanyike?
Je, mnadhani hakuna watu wanaoionea husuda Tanzania kiasi cha kuweza kuweka madhara kwenye barakoa zinazoweza kuingizwa nchini kwa njia za panya?
Mmesahau hata USA ilipewa msaada na China na kugundua kuwa barakoa zilikuwa hazina ubora? Mmesahau?
Kuwa na shirika la viwango ndio sababu ya kutopata vifaa visivyo na ubora? Hapana, sababu njia za panya ni nyingi . Hii sio sana
sababu ya kutochukua tahadhari.
Nadhani mmepewa tahadhari ili kuwa na uhakika wa kujilinda ni bora utengeneze cloth mask yako. Maana unaweza ukawa Karagwe, Njombe,Hai na mtu wa nchi jirani akakupa mask toka nje kumbe haina kiwango na ina upupu.
Maoni; Tuache kuwa wakosoaji wa kila kitu, kisa tu tuna chuki za kisiasa. Uchaguzi umepita tuwe na umoja.
Ni vizuri tufunge na sisi mipaka yetu, kwa kuwa tupo kwenye vita ya kiuchumi wabaya wetu wanaweza kutuchafua kwa kutupenyezea virusi na kutudhuru pasipo sisi kujua. Kwani nchi nyingi duniani tena tajiri zinahangaika kwa nini sisi tusichukue tahadhari? Kwani unafikiri hao wenye kutaka kuanzisha vita vya kiuchumi wanafuraha wakituona sisi tunatembea na kuishi bila ya kuogopa Corona?Nashangaa sana kuona watu wazima mmeshupaza shingo kulaumu upuuzi.
Kwamba kama kuna shirika la viwango nchini TBS, kwa nini mkuu wa nchi atoe tahadhari juu ya barakoa ambazo zinaweza kuwa na madhara kwa watumiaji?
Hivi hamjui kuwa pamoja na kuwa na shirika la viwango nchini, bidhaa nyingi feki huwa zinaingia sokoni kupitia njia za panya. Na huwa zinaghundulika baada ya muda, tena mpaka msako ufanyike?
Je, mnadhani hakuna watu wanaoionea husuda Tanzania kiasi cha kuweza kuweka madhara kwenye barakoa zinazoweza kuingizwa nchini kwa njia za panya?
Mmesahau hata USA ilipewa msaada na China na kugundua kuwa barakoa zilikuwa hazina ubora? Mmesahau?
Kuwa na shirika la viwango ndio sababu ya kutopata vifaa visivyo na ubora? Hapana, sababu njia za panya ni nyingi . Hii sio sana
sababu ya kutochukua tahadhari.
Nadhani mmepewa tahadhari ili kuwa na uhakika wa kujilinda ni bora utengeneze cloth mask yako. Maana unaweza ukawa Karagwe, Njombe,Hai na mtu wa nchi jirani akakupa mask toka nje kumbe haina kiwango na ina upupu.
Maoni; Tuache kuwa wakosoaji wa kila kitu, kisa tu tuna chuki za kisiasa. Uchaguzi umepita tuwe na umoja.
Ukweli unaanza kujulikanaAnakimbia majukumu yake huyo hakuna Vita yoyote kwenye korona.
Ilikua suala la muda tu. Sasa mambo hadharaniUkweli unaanza kujulikana