Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Umetokea wapi? Umekosea njia hii post sio ya huu uzi.Acheni kuunga mkono kila pumba anazotoa Meko, sometimes watendeeni haki wazazi wenu kwa vile waliwapeleka shule.
Kama Meko anasema kifo kipo tu hakuna kujikinga mbona huku tunapokea chanjo za BCG, Measles, Pentavalent, Rotax, Tetanus toxoid vaccine. Kwanini tunagawa Condom na net za kujikinga na Malaria?. Basi tuache vyote. Justification za eti kifo kipo tu ni za kipumbavu hazipaswi kutolewa na kiongozi mkubwa kama yeye JPM