kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Wale wasioendana na matakwa yetu ndipo huitwa "mabeberu" (wenye hujuma dhidi ya maendeleo yetu sababu wamegoma kuwa nasi ktk gurudumu la maendeleo-Hapa tunasema kuna vita vya kiuchumi).....
Lakini, mabeberu hao wakiwa pamoja nasi ktk gurudumu la maendeleo, basi tutasema ni "waisani wazuri wa maendeleo yetu" (hakuna vita ya kiuchumi hapo).
Lakini, mabeberu hao wakiwa pamoja nasi ktk gurudumu la maendeleo, basi tutasema ni "waisani wazuri wa maendeleo yetu" (hakuna vita ya kiuchumi hapo).