Tujiulize, vita ya uchumi tunapigana na nani?

Hii vita ipo miaka yote, wewe panua ubongo wako.
Unazuia biashara ya Barakoa ya wenzako ili uchumi wao uyumbe, then unatutangazia vita uliyoianzisha wewe mwenyewe.... Naenda kulala mkuu!!
 
We unavijua vita vya uchumi?
Hata wewe huvijui,umesikia tu magufuli akitamka na wewe ukasomba,magufuli mwenyewe haijui hiyo vita,naye alimsikia tu kabudi akiongea wakati ule tukidaiwa hela na mzungu(mkulima)alipokamata ndege (bombardier) tanzania inatoshana na malawi na zambia na msumbiji tu!! Hao ndiyo saizi yetu kivita na kiuchumi,yaani beberu liache kupambana na mabeberu mengine yanayotishia uchumi wake lije lipambane na masikini choka mbaya kama tanzania? Kwanza tanzania ina uchumi upi? Mbuga?wanyama? Bila watalii( mabeberu) kuja kutalii mtakula mbuga? Madini? Mnajua hata nani anayepanga bei elekezi ya tanzanite huko sokoni kwa wateja(mabeberu)? Mabeberu yakiamua tu kushusha thamani ya tanzanite yenu mtabaki nayo,mtachezea bao!! Unakumbuka kipindi cha vita ya ugaidi? Shortly after 9/11 ? Si walitishia tu kutonunua tanzanite kwa muda? Uliiona athari yake? Acheni ku masturbate ubongo nyie! Mnakonyeza konyeza tu wakati hakuna hata mtu anayewaangalia,mnaji koholesha koholesha umbea na hakuna hata anayewajali,stpd
 
Watanzania mmepata Rais jiwe kweri kweri, Sishauriwi.
 
Angekuwa hivyo kweli basi angejua mapema tu kuwa Kitwanga ni mlevi sugu!! Tusingeona hii teua tengua za kila siku kama tuonazo sasa,hao watu wake walikuwa wanakusanya sifa kipindi kile cha chadema!! Walikuwa watafiti mikutano ya upinzani tu,tupa kule
 
Anapokeaga ushauri wa mtu huyo?

Watanzania mmepata Rais jiwe kweri kweri, Sishauriwi..
 
Hii vita ipo miaka yote, wewe panua ubongo wako.
Mkuu punguza kila kitu kuchukulia positive, thinking capacity inapungua Sana kwenye jamii,sijui KWA nini, sio kila Jambo ni kulipamba alihali limesemwa, kupanua ubongo sawa ,ila unapanua ubongo bila kufikiri, kujudge, then kuja na hoja za kukubali au kukataa ?
 
Wewe na mkulu wako hamna akili sh$$###& nyie wapotoshaji na Watanzania sie sijui tumelogwa na nani jaman mbm hvi vitu vinavyiendelea ni vya kipumbavu sana
 
Ni vizuri tufunge na sisi mipaka yetu, kwa kuwa tupo kwenye vita ya kiuchumi wabaya wetu wanaweza kutuchafua kwa kutupenyezea virusi na kutudhuru pasipo sisi kujua. Kwani nchi nyingi duniani tena tajiri zinahangaika kwa nini sisi tusichukue tahadhari? Kwani unafikiri hao wenye kutaka kuanzisha vita vya kiuchumi wanafuraha wakituona sisi tunatembea na kuishi bila ya kuogopa Corona?
Tusifanye lockdown lakini tusiruhusu wageni wajijie tu bila ya uangalizi maalum. Tukiweza kufunga mipaka tufanye hivyo angalau kwa miezi 3 ili tuweke mambo sawa. Hawa jamaa wana mbinu mbalimbali za kuweza kutufanyia ili tushindwe hii vita. Tushirikiane na nchi rafiki zetu katika kufanya uchunguzi na kuweza kudhibiti ugonjwa huu na mfano wa huu.
 
Anakimbia majukumu yake huyo hakuna Vita yoyote kwenye korona.
 
vita ya uchumi ni kati ya wale wanaotengeneza dawa za kulevya ili vijana wote wawe mateja huku wakwao wakiwa kwenye kiyoyozi
 
Vita ya uchumi tunapigana na ATCL iliyosababishia Serikali hasara ya TZS 60 billion kwa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…