Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga.

Yaani yeye na simba au yeye na Yanga.

Haya hebu tutajane hapa ili tujuane.

kuna watu wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani ila wanaweza kujitaja tu wenyewe

NAANZA MIMI 1:YANGA
 
Najua jukwaa lenu lina mashabiki kindaki ndaki wa either simba au yanga...

Yaani yeye na simba au yeye na yanga...

Haya hebu tutajane hapa ili tujuane...

kuna watu wengine wanaojulikana kabisa na wengine hawajulikani hivo wanaweza kujitaja tu wenyewe hapa tujuane sisi ni watani bhana

NAANZA MIMI 1:YANGA

Just for funny only
 
Mbeya City shabiki liamia nipo hapa.
 
 
Maskini Upo peke yako maana 99% ya JF ni chadema, hivyo ni wapinzani wa Yanga na CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…