Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Yaani wewe ndo jirani kabisa mi nakaa majengo mapya.
Karibia na kwa six.
Nyegezi
amu aisee wewe ni jirani yangu kabisa! Mimi niko karibu na huyo jamaa japo simfahamu vizuri..
Alishawahi kupata msiba kipindi fulani, basi akaweka kibao maalum ku-direct wageni kuelekea kwake!
Hapo ndipo nikaanza kumjuapo!
Nyasaka maeneo ya tanesco mpya.. Hapo ndipo excel anapoishi !
SIX MADUKURU, nimesoma na mdogowake RENATUS MADUKURU
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii[/QUOTE
Malimbe
Hii thread hadi raha.
Ombi binafsi tujumuike siku moja.
Preta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu
Huwa mnaitanaje?
Wito unatolewaga humu humu JF, na kwa wale wachache ambao tayari tumebadilishana namba za simu, we sms each other, lakini tangazo hutolewa humu JF
Nafanya kazi karibu na hapo...tuwasiliane mkuu
Kwa wale wapiga kilauli tukutane pale CHANYA BAR, national karibu na kituo cha police.
Duh aisee, isenga ni ya zamani kumbe
Tupo nae mbabe wetu huku