Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

amu aisee wewe ni jirani yangu kabisa! Mimi niko karibu na huyo jamaa japo simfahamu vizuri..

Alishawahi kupata msiba kipindi fulani, basi akaweka kibao maalum ku-direct wageni kuelekea kwake!

Hapo ndipo nikaanza kumjuapo!

Nyasaka maeneo ya tanesco mpya.. Hapo ndipo excel anapoishi !

Yaani wewe ndo jirani kabisa mi nakaa majengo mapya.
Karibia na kwa six.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
amu aisee wewe ni jirani yangu kabisa! Mimi niko karibu na huyo jamaa japo simfahamu vizuri..

Alishawahi kupata msiba kipindi fulani, basi akaweka kibao maalum ku-direct wageni kuelekea kwake!

Hapo ndipo nikaanza kumjuapo!

Nyasaka maeneo ya tanesco mpya.. Hapo ndipo excel anapoishi !

Aaaaaa msiba wa mamake tulikula nyama balaa.
Mie nakaa hapo kama unapasikia kwa vehicle chacha ila sasa npo huku katerero bk
 
Last edited by a moderator:
Hii thread hadi raha.
Ombi binafsi tujumuike siku moja.
 
Kwa wale wapiga kilauli tukutane pale CHANYA BAR, national karibu na kituo cha police.
 
Preta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu

Huwa mnaitanaje?
 
Wito unatolewaga humu humu JF, na kwa wale wachache ambao tayari tumebadilishana namba za simu, we sms each other, lakini tangazo hutolewa humu JF

Huwa mnaitanaje?
 
Wito unatolewaga humu humu JF, na kwa wale wachache ambao tayari tumebadilishana namba za simu, we sms each other, lakini tangazo hutolewa humu JF

Mbona huwa halionekani hilo tangazo?
 
Karbun carlfonia mitaa ya karbu na nyegez stand!..
 
Back
Top Bottom