Tujuane wana JF wa Mwanza

Wewe ulikuja kwa bodaboda bana, nilikuona wsana wakati unaingia na mie nikawa natoka. Au unabisaha niweke picha???

Ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Siku hizi umekuwa mtaalam wa Picha,naona umepewa maujanja na Tyta

Nina aleji na bodaboda na huwa sipandi
Napanda bajaji mimi na nilifika na hukuwepo ..lol!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii

Wajamani mimi niko mwanza mjini
 
Oyaa kuna mwanajamvi katokea dar aliomba campany ya Wana mwanza nipo hapa bebylonge mitaa ya Kilimahewa namsikilizia Mwenye kiu aje pia tufahamiane jamani.
 
Nyie woote wanga tu members wamefika hata kujoin mmeshindwa mmekaliaa tu eti me nipo bugando mara katangiri hivi kama hamtaki kuwajua members wengine je hawa wa hapahapa mwanza uwezekano upooo? Toeni usenge wenu na tusijuane tu maana kama hata wageni tu hatuwathamin je sisi wenyeji je?ma k woote nyie.
 
Oyaa kuna mwanajamvi katokea dar aliomba campany ya Wana mwanza nipo hapa bebylonge mitaa ya Kilimahewa namsikilizia Mwenye kiu aje pia tufahamiane jamani.

Wacha urongo kimachomacho... Babi Lounge haipo Kilimahewa....

Kwanza huyo mgeni nilikuwa naye kule Yunglong Chinese Restaurant mpk late hours....

Afu punguza matusi aiseee... Maana naona Ban inakunyemelea mdogo mdogo!!
 
Reactions: amu

We acha fix ban utapewa wewe.dogo njaainauma tu hiyo inakusumbua ushakunywa viroba nini?mbururaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…