Tujulishane mabasi yanayotuhudumia Tanzania na ubora wa huduma wanazotoa

Tujulishane mabasi yanayotuhudumia Tanzania na ubora wa huduma wanazotoa

HOOD BUS SERVICE
1613235275177.png
Huyu ni mkongwe anayepotea taratibu. Zamani alikuwa ndiye mshindani mkubwa wa Abood Bus, lakini sijui aliteleza wapi? Kwa sasa anaonekana kwenye njia ya Mbeya Arusha, Morogoro Arusha
 
ABOOD BUS
Screenshot_20210213-195644.png

Abood Bus imekuwa kampuni kubwa na ya muda mrefu ikiunganisha miji ya Morogoro ambao ndio makao makuu yake na Dar.
Pia wakitumia mabasi yao ya Scania Marcopolo wamekuwa na safari za kwenda sehemu mbalimbali za nchi.
Screenshot_20210213-195617.png

 
Hizo Basi zote na mipicha yake hakuna hata moja itakayorushusiwa kutembea njia za Tanroad bila kipeperushi Cha abnormal pamoja na bendera nyekundu mbili , mbele na nyuma, ikilazimishwa kumaliza safari saa 12 jioni na kuanza safari saa 12 asubuhi.

Na siyo project ya pesa ndogo
Sasa tumekuwaje uchumi wa kati?sidhani kama kuna nchi ya uchumi wa kati isiyoruhusu hayo mabasi,we are very boastful with nothing!Yaani ni ku-fake tu!
 
BUTI LA ZUNGU
1613252183906.png


Hii ni gari ya mbio, ndiyo road master wa njia ya Dar Mtwara.
Zamani walikuwa na Scania zenye bodi ya kuchonga, Sasa Wana mabasi ya Kichina ambayo Ni Luxury na semi Luxury.
0692 555 000
 
Achaneni na hayo machumachuma...Mimi nataka kujikita katika ununuaji wa hizi bus za marcopolo paradiso g 7 nadhani hakuna atayenifikia katika utoaji hudumaView attachment 1701438View attachment 1701440View attachment 1701441View attachment 1701442View attachment 1701444View attachment 1701445View attachment 1701446View attachment 1701448

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Bonge la bus mkuu nunua afu ipe njia ya Sumbawanga Tunduma Mbeya ni uhakika wa wateja
 
Hizo Basi zote na mipicha yake hakuna hata moja itakayorushusiwa kutembea njia za Tanroad bila kipeperushi Cha abnormal pamoja na bendera nyekundu mbili , mbele na nyuma, ikilazimishwa kumaliza safari saa 12 jioni na kuanza safari saa 12 asubuhi.

Na siyo project ya pesa ndogo
Sababu nini ,kwamba road ni finyu au
 
Back
Top Bottom