lusekelo ephraim
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 306
- 234
Kampuni nyingine hiyoapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokana na korona route hiyo haipoJamani naulizia kama kuna gari inafanya route mwanza to nairobi tafadhali
Ahsante kwa ufafanuziKutokana na korona route hiyo haipo
Ukitaka kusafiri route hiyo panda basi za Zakaria au Batco kutoka mwanza hadi sirari nauli ni 10000 tu, ukifika boder unavuka upande wa kenya isebania pale kuna basi za nairobi kupitia kisiii nauli pale ni kama 1200 ksh, au 240000 tshs
Nb
Hakikisha unafika sirari kabla ya saa nne asubuhi , upande wa kenya hawasafiri tena usiku kwa hiyo basi za nairobi mwisho saa tano asubuhi
Ikitokea umechelewa basi za asubuhi , unaweza kupanda hiace za kericho , pale kuna seven seaters toyota wish , kwenda nairobi hizi ni 1500 kshs kutoka kericho, ilaa itabidi roho uishike mkononi maana jamaa wanatembea 140 km/h plus
Nasikia kilichosababisha ni kutokulipa kodiScandinavia ni moja ya gari nilienjoy Sana kusafiri nayo kipindi nasoma.
Ni moja ya gari ulikuwa na huduma nzuri na za kipekee,na waliwajali wateja wait Sana. Najiuliza Sana ni kipi kilisababisha wakapotea kibiashara
Kuna wanasiasa waliingiza mabasi yao mle kwa kutumia jina la kampuni, nasikia yakawa yanakunywa mafuta kwa jina la Scandinavia bila kulipa, deni likawa kubwa sana baada ya kuona hali ni mbaya wakayachomoa na kuweka majina mangine na kumwachia Scandinavia deniNasikia kilichosababisha ni kutokulipa kodi
Hiyo ya pili inanikumbusha movie ya the war bus
Tuletee babaAchaneni na hayo machumachuma...Mimi nataka kujikita katika ununuaji wa hizi bus za marcopolo paradiso g 7 nadhani hakuna atayenifikia katika utoaji hudumaView attachment 1701438View attachment 1701440View attachment 1701441View attachment 1701442View attachment 1701444View attachment 1701445View attachment 1701446View attachment 1701448
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app