colony
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 361
- 493
Sasa ww unafanyaje TzNdugu zangu hawapo TZ. Wapo Ulaya na Marekani. Siku ambayo walikuja Tz walilia sana walipoona maisha ya watu wa sinza,kijitonyama n.k hawana hamu tena ya kuja huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ww unafanyaje TzNdugu zangu hawapo TZ. Wapo Ulaya na Marekani. Siku ambayo walikuja Tz walilia sana walipoona maisha ya watu wa sinza,kijitonyama n.k hawana hamu tena ya kuja huku.
Zitapita barabara zipi hapa Bongo, na mituta yetu??Achaneni na hayo machumachuma...Mimi nataka kujikita katika ununuaji wa hizi bus za marcopolo paradiso g 7 nadhani hakuna atayenifikia katika utoaji hudumaView attachment 1701438View attachment 1701440View attachment 1701441View attachment 1701442View attachment 1701444View attachment 1701445View attachment 1701446View attachment 1701448
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Uzalendo tu ndugu yangu. Naishi huku Oyesterbay angalau si kubaya sana. But najifunza pia maisha magumu.Sasa ww unafanyaje Tz
Ni Mkoa gani hapa Tanzania? Ndo huko watu wanaishi maisha ya chini mpaka wanakula mara tatu tu kwa siku?Wangeona maisha ya watu wa buza kwa lulenge wangekufa kabisa.
kibaskeli cha Mwanza-Dar-Mwanza
Na wewe changia chochoteKwahiyo ndo umemaliza hivyo,
Shabiby ana mentality ya kwamba watu wa Kanda ya Ziwa ni washamba hivyo anaona watamuharibia gari zake. The same to Kugoma haitakuja tokea akapeleka gari zake.Siku shabiby akianza route za kanda ya ziwa watu watapumulia mashine aiseee. Sijui anakwama wapi kuanza route za kanda ya ziwa? Au route za kanda maalum maji marefu????
Dar lux kabakiza bus moja tena nalo spana mkononi, na hiyo list yako imekua batili baada ya kukosekana kampuni kubwa kama Ally’s Star Bus kampuni ambayo ina safari za kanda ya ziwa na ina mabus ya uhakika mno na mapya! Unaweka phonex ana bus mbili benzi za kihindi za juzi tuu ila zinachomoka matairi ikiwa njiani.Huu ni uzi maalum wa kujulishana ubora wa huduma wa mabasi yanayotuhudumia nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yake.
1. SCANDINAVIA EXPRESS (Kielelezo/mfano wa kampuni Bora kabisa ya usafirishaji abiria, vifurushu na pesa Tanzania)
Kampuni ya mabasi ya Scandinavia Express ni kampuni pekee ya kitanzania iliyowahi kutokea kwa kuwa na huduma za uhakika na za viwango vya hali ya juu kabisa kulinganisha na huduma zinazotolewa na kampuni za sasa. Kampuni hii ilijijengea jina kubwa na sifa nzuri ndani na nje ya nchi kwa huduma bora walizokuwa wakizitoa kwa abiria wake na pia kuliletea sifa taifa la Tanzania kwa kujulikana kuwa na mabasi ambayo ni quality na high class.
Kampuni ya Scandinavia ilianzishwa zaiidi ya miaka thelathini na tano (35) iliyopita ikiwa na mabasi machache tu aina ya LEYLAND na ilipofika mwaka 1982 kwa mara ya kwanza Scandinavia walinunua basi lao la kwanza la kisasa kutoka kampuni ya SCANIA TANZANIA COACHES aina ya SCANIA ambalo kutokana na ubora wake na uzuri wake kwa kipindi hicho waliamua kulitumia kwa safari yao mpya waliyoianzisha ya Dar es salaam hadi Iringa.
BASI LA KWANZA LA KISASA KUNUNULIWA NA SCANDINAVIA 1982
Kadiri mahitaji ya usafiri yalivyokuwa yakiongezeka ndipo michirizi ya rangi ya BLUU,KIJIVU na NYEKUNDU ikaanza kuonekana katika mabasi mengi zaidi yaliyokuwa yakisafirisha abiria karibia kila kona ya Tanzania.
Ilipofika mwaka 2001 kampuni ya Scandinavia walianzisha safari yao ya kwanza kabisa kutoka nje ya nchi kwa safari ya Dare es salaam hadi Nairobi nchini Kenya,ambapo mafanikio ya ruti hiyo yalipelekea kuzaliwa kwa ruti nyingine kati ya Nairobi hadi Mombasa na Mombasa hadi Dar es salaam. Katika mwaka wa 2002 kampuni ya Scandinavia walipanua wigo wa huduma zao kwa kuanza ruti mpya ndani ya Afrika mashariki kwa safari za Dare es salaam hadi Kampala nchini Uganda.
Ilipofika mwaka 2003 kampuni ya Scandinavia ilipanua wigo zaidi kwa kuanza kwenda katika mji mkuu wa nchi ya Zambia Lusaka.
Wakati huo wote kampuni ya Scandinavia ilikuwa chini ya mkurugenzi na mwanzilishi wake MR.MUHAMED ABDULLAH.
Kampuni ya Scandinavia ilianza kutumia mabasi ya kisasa mwaka 1982 na kuanzia hapo walikuwa wakiongeza mabasi kadili ya mahitaji ya kampuni na abiria pia na kufikia jumla ya mbasi 100 ambayo yalikuwa yakitoa huduma za usafiri ndani na nje ya nchi na mengi ya mabasi hayo yalikuwa ni ya kisasa yaliyonunuliwa kutoka kiwanda cha SCANIA na MARCOPOLO kilichopo nchini BRAZILI.
2. SHABIBY LINE
View attachment 1701426
Hii ni kampuni nyingine yenye fleet za uhakika.
Mabasi mazuri na ya starehe, yakiwa na viti vya kulala, tv, usb, viti vya kusogea na Kuna baadhi ya magari viti vyake ni two by one.
Mabasi haya yanaenda sehemu mbalimbali za nchi, na unaweza kukata ticket zake mtandaoni kwenye website yao
www.shabiby.co.tz
0654 777 773
3. Sauli Luxury Bus
View attachment 1701439
Hii ni kampuni ambayo haina miaka mingi sana ikihudumu kwenye njia ya Dar- Mbeya/ Tunduma/ Kyela.
Tanzania nzima hii gari inajulikana kwa kumwaga Moto iwapo barabarani.
Magari yake ya Scania na Mercedes Benz yamekuwa ni mwiba mchungu sana kwa washindani wake ambao wengi hutumia mijigari ya Kichina.
Waweza kuwapigia simu kwa booking ya Safari yako 0742 967 151
Kilimanjaro Express
View attachment 1701447View attachment 1701449Hii ni miongoni mwa kampuni kongwe za usafirishaji nchini. Imekuwa ikihudumia njia ya Dar Moshi Arusha, Dar Mbeya Tunduma etc.
Wana fleet za uhakika na nyingi, huduma nzuri. Waweza kuwasiliana nao kwa namba 0752 400 026
DAR LUX
View attachment 1701652Hii ni miongoni mwa kampuni zilizoingia sokoni kwa nguvu na kishindo kikubwa wakiwa na jengo zuri sana la kukaa abiria, huduma za kimtandao ikiwa ni pamoja na kukata ticket mtandaoni.
Hii ndio kampuni pekee iliyowahi kuwapeleka madereva wake China ili wakajifunze namna ya kuyamudu mabasi yao.
View attachment 1701650Darlux
www.darlux.co.tz
PHOENIX LUXURY BUS
View attachment 1701657Hii ni kampuni mpya kabisa ambayo imekuja na mabasi ya Kihindi aina ya BharatBenz ambayo Tanzania hayapo kabisa.View attachment 1701660
Kampuni hii kwa sasa inatoa huduma zake kwa njia ya Dar Mwanza.View attachment 1701661
DAR EXPRESS
View attachment 1701664Hii ni kampuni nyingine kongwe, Mfalme wa njia ya Dar Arusha, Nairobi, Rombo.
Kwa DAR ES SALAAM ofisi zao zinapatikana Shekilango.
Ana mabasi mapya TanzaniteDar lux amebakiza bus moja tuu nalo spana mkononi, hiyo list yako nimeona batili baada ya kutoona Ally’s Star Bus, kampuni ambayo imetalawa kanda ya ziwa hasa safari za Mwanza-Dar,, Mwanza -Dodoma, Shinyanga/Bariadi-Dar n.k
Dar lux kabakiza bus moja tena nalo spana mkononi, na hiyo list yako imekua batili baada ya kukosekana kampuni kubwa kama Ally’s Star Bus kampuni ambayo ina safari za kanda ya ziwa na ina mabus ya uhakika mno na mapya! Unaweka phonex ana bus mbili benzi za kihindi za juzi tuu ila zinachomoka matairi ikiwa njiani.
Brabhat Benz wahindi walimwambia owner apeleke timu ya mafundi na madereva wakafundishwe maintenance and fleet management ya hayo mabasi, akaweka ubahili, Sasa magari yanajufia tuDar lux amebakiza bus moja tuu nalo spana mkononi, hiyo list yako nimeona batili baada ya kutoona Ally’s Star Bus, kampuni ambayo imetalawa kanda ya ziwa hasa safari za Mwanza-Dar,, Mwanza -Dodoma, Shinyanga/Bariadi-Dar n.k
Dar lux kabakiza bus moja tena nalo spana mkononi, na hiyo list yako imekua batili baada ya kukosekana kampuni kubwa kama Ally’s Star Bus kampuni ambayo ina safari za kanda ya ziwa na ina mabus ya uhakika mno na mapya! Unaweka phonex ana bus mbili benzi za kihindi za juzi tuu ila zinachomoka matairi ikiwa njiani.
Kama Tanzanite ni yake apo ni sawa mkuu japo nilijua ni kampuni tofautiAna mabasi mapya Tanzanite
Mkuu nisaidie connection ya hapoSuper Feo in corporation with Selous ExpressView attachment 1701672View attachment 1701673View attachment 1701674View attachment 1701675View attachment 1701676View attachment 1701677
Sheria za kijinga za TanroadsSababu nini ,kwamba road ni finyu au
Ndugu zangu hawapo TZ. Wapo Ulaya na Marekani. Siku ambayo walikuja Tz walilia sana walipoona maisha ya watu wa sinza,kijitonyama n.k hawana hamu tena ya kuja huku.
Kweli umeamua kuikana ID yakoNdugu zangu hawapo TZ. Wapo Ulaya na Marekani. Siku ambayo walikuja Tz walilia sana walipoona maisha ya watu wa sinza,kijitonyama n.k hawana hamu tena ya kuja huku.