Tujulishane mabasi yanayotuhudumia Tanzania na ubora wa huduma wanazotoa

HOOD BUS SERVICE
Huyu ni mkongwe anayepotea taratibu. Zamani alikuwa ndiye mshindani mkubwa wa Abood Bus, lakini sijui aliteleza wapi? Kwa sasa anaonekana kwenye njia ya Mbeya Arusha, Morogoro Arusha
 
ABOOD BUS

Abood Bus imekuwa kampuni kubwa na ya muda mrefu ikiunganisha miji ya Morogoro ambao ndio makao makuu yake na Dar.
Pia wakitumia mabasi yao ya Scania Marcopolo wamekuwa na safari za kwenda sehemu mbalimbali za nchi.
 
Sasa tumekuwaje uchumi wa kati?sidhani kama kuna nchi ya uchumi wa kati isiyoruhusu hayo mabasi,we are very boastful with nothing!Yaani ni ku-fake tu!
 
BUTI LA ZUNGU


Hii ni gari ya mbio, ndiyo road master wa njia ya Dar Mtwara.
Zamani walikuwa na Scania zenye bodi ya kuchonga, Sasa Wana mabasi ya Kichina ambayo Ni Luxury na semi Luxury.
0692 555 000
 
Bonge la bus mkuu nunua afu ipe njia ya Sumbawanga Tunduma Mbeya ni uhakika wa wateja
 
Sababu nini ,kwamba road ni finyu au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…