Tujulishane mabasi yanayotuhudumia Tanzania na ubora wa huduma wanazotoa

Ndugu zangu hawapo TZ. Wapo Ulaya na Marekani. Siku ambayo walikuja Tz walilia sana walipoona maisha ya watu wa sinza,kijitonyama n.k hawana hamu tena ya kuja huku.
Sasa ww unafanyaje Tz
 
Zitapita barabara zipi hapa Bongo, na mituta yetu??

Ila kiukweli route ya Dar Lilongwe, Dar Dar Kigali hata Dar Musoma, Mbeya Arusha hizo ndiyo basi sahihi.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
"Magari yake ya Scania na Mercedes Benz yamekuwa ni mwiba mchungu sana kwa washindani wake ambao wengi hutumia mijigari ya Kichina"
Duuh umeandika kwa nguvu nyingi sana
 
Siku shabiby akianza route za kanda ya ziwa watu watapumulia mashine aiseee. Sijui anakwama wapi kuanza route za kanda ya ziwa? Au route za kanda maalum maji marefu????
 
Siku shabiby akianza route za kanda ya ziwa watu watapumulia mashine aiseee. Sijui anakwama wapi kuanza route za kanda ya ziwa? Au route za kanda maalum maji marefu????
Shabiby ana mentality ya kwamba watu wa Kanda ya Ziwa ni washamba hivyo anaona watamuharibia gari zake. The same to Kugoma haitakuja tokea akapeleka gari zake.
 
Dar lux amebakiza bus moja tuu nalo spana mkononi, hiyo list yako nimeona batili baada ya kutoona Ally’s Star Bus, kampuni ambayo imetalawa kanda ya ziwa hasa safari za Mwanza-Dar,, Mwanza -Dodoma, Shinyanga/Bariadi-Dar n.k
Dar lux kabakiza bus moja tena nalo spana mkononi, na hiyo list yako imekua batili baada ya kukosekana kampuni kubwa kama Ally’s Star Bus kampuni ambayo ina safari za kanda ya ziwa na ina mabus ya uhakika mno na mapya! Unaweka phonex ana bus mbili benzi za kihindi za juzi tuu ila zinachomoka matairi ikiwa njiani.
 
Ana mabasi mapya Tanzanite
 
Brabhat Benz wahindi walimwambia owner apeleke timu ya mafundi na madereva wakafundishwe maintenance and fleet management ya hayo mabasi, akaweka ubahili, Sasa magari yanajufia tu
 
Jamani naulizia kama kuna gari inafanya route mwanza to nairobi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…