Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

Hahhaaa Hamna kukaa kinyonge ukipiga na Showergel yake

Uweke Old spices stick deodorant
Umalizie na hicho kitu hapo

Dada anaomba namba upyaa
Aisee hii bidhaa ya dove nmeinyooshea mikono.
Mwanzo nilinunua sabuni nadha ilkua fake ile make ilianza kuharibu ngozi yangu, lkn nikapata chimbo jingne nikanunua Dove nyingne elf5 (hii n tofaut kabsa naya mwanzo make kwa box ufunguaji wake unaikuta sealed, namba za mfg na exp ziko ingraved kwa box hazijapachikwa tuu, pia n kubwa kidogo kwa umbo tifauti naya mwanzo).

Nmejidunga na lotion yake ya 20, aisee niko na five days nmeanza kuitumia lkn ngozi imekua soft, dead skin zinabanduka tuu.

Thanks Hornet
 
naomba kujua hilo chimbo mkuu
 
Umeipata chimbo mkuu ikiwezekana weka picha ya box lake
 
Picha ya hilo box la sabuni please.
 
Ndio natuma
 
Marquis Perfume-30k
Marquis spray-5k

Ya kiume ina rangi ya bluu
Ya kike rangi ya damu ya mzee


Inanukia vizuri wachuchu wengi waliokuja karibu nami walidai kuipenda
Wap inapatikana boss
 
Asee mie natafuta perfume ile OG kbs sio zile za dubai, Hornet naona wadau wamekupa macredit km yote,, napata wp perfume Og inayonukia vzuri
 
Asee mie natafuta perfume ile OG kbs sio zile za dubai, Hornet naona wadau wamekupa macredit km yote,, napata wp perfume Og inayonukia vzuri

Ukisema siyo ya Dubai sijui unamaanisha nini

Manake Dubai ni njia tu kwa baadhi ya bidhaa hasa Perfume

Zipo Za UK ambazo zinanunuliwa kule kulingana na wepesi wa usafirishaji

Ila ukihitaji Direct kutoka UK Bei inakua juu kidogo sababu ya Usafiri
Na zinapatikana, lete brand name upate mzigo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…