Quantum1
Member
- Oct 8, 2019
- 66
- 79
Aisee hii bidhaa ya dove nmeinyooshea mikono.Hahhaaa Hamna kukaa kinyonge ukipiga na Showergel yake
Uweke Old spices stick deodorant
Umalizie na hicho kitu hapo
Dada anaomba namba upyaa
Mwanzo nilinunua sabuni nadha ilkua fake ile make ilianza kuharibu ngozi yangu, lkn nikapata chimbo jingne nikanunua Dove nyingne elf5 (hii n tofaut kabsa naya mwanzo make kwa box ufunguaji wake unaikuta sealed, namba za mfg na exp ziko ingraved kwa box hazijapachikwa tuu, pia n kubwa kidogo kwa umbo tifauti naya mwanzo).
Nmejidunga na lotion yake ya 20, aisee niko na five days nmeanza kuitumia lkn ngozi imekua soft, dead skin zinabanduka tuu.
Thanks Hornet