Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

imechukua miaka mitatu na zaidi kwa wadau kutuletea bei ya huu unyama..... Bei yake ni kati ya 575,000 na 790,000
Na hiyo series kuanzia ipo moja mpaka kumi
 

Attachments

  • IMG_20221214_085515.png
    185.5 KB · Views: 51
Hapa nipe darasa Kamanda!

Kwani perfume ni ya kujipulizia mwilini moja kwa moja au ni kwenye nguo tu na spray ndiyo ya kwenye mwili?au vyote inawezekana?
 
Umetisha mkuu
 
Hapa nipe darasa Kamanda!

Kwani perfume ni ya kujipulizia mwilini moja kwa moja au ni kwenye nguo tu na spray ndiyo ya kwenye mwili?au vyote inawezekana?

NI mapenzi ya mtu tu, lakini wanaotengeneza perfume walilenga ipuliziwe juu ya ngozi...

Mwili wa mwanadamu hutoa joto, na joto hilo huipasha perfume na kuifanya itoe zile scents zilizotumika kuitengeneza hence kunukia...

Lakini binafsi huwa napulizia nguo kabla ya kuivaa, kuna wakati nishawahi kusoma mtoto wa miaka 17 alipatwa na kansa kwa sababu ya matumizi yaliyopitiliza ya perfume juu ya ngozi, hii ndio sababu imenifanya ni avoid kabisa kujimwagia unyunyu kwenye ngozi...
 

Mimi nimenunua dove ya tango nimekuta kubwa kama jamaa naomba unipm namba za wauzaji og nizichukue mkuu halafu kati ya pink na tango ipi dove nzuri
 
Shukrani sana kwa elimu!!!
 
Daah, perfume kwenye ngozi?. Mkuu tafadhali Bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…