Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
Wakuu naombeni jibu ya hili swalhivi naomba kuuliza tofauti kati ya shower gel na bar soapView attachment 2438828
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naombeni jibu ya hili swalhivi naomba kuuliza tofauti kati ya shower gel na bar soapView attachment 2438828
Big up mzee
Mdau hebu picha ya hiyo lotion ya Dove🤝Dove unapata kwa 4000 zipo za aina tofauti.
Lotions Nilinunua ya 22 unyama sana..
Uyo Madam Hornet ni Mwaisa kinoma ova Pharmacist.. Anazijua sana
Hapa nipe darasa Kamanda!Elfu 40 mkuu inategemea na sehem na sehem (maduka). Hupaswi kujipuliza sana mkuu unajipuliza sehem muhim na kwa fyuuu 1[emoji3](fundamoja) mabegan(shotona kulia), kifuan(kushotonakulia), nyuma ya shingoni, mbavuni karibu na kwapa(usipulizie kwapani) pamoja na kwenye mikono(kiganjani kwenye viungio/kifundo).
Hapo ndo mtu wa jiran yako ataisikilizia harufu yake na wew utakua unaihis asubuh mpk usiku mkuu
Like this..huyu dada alipenda navyonukia.ikabidi aniulize.Asante kwa hii comment yako, lazima niitafute niongeze kwenye collection yangu...
Maana ukitaka kujua perfume nzuri, upate kura toka kwa mdada...
Like this..huyu dada alipenda navyonukia.ikabidi aniulize.View attachment 2449172
Nauza perfume karibuni mniungishe follow account yangu ya instagrame natumia jina la TIba_perfume uko mtapata kila aina ya perfume nzurihii leo kuna mtu nimesikia akinukia , iko vizuri kwa kweli
Weka link tu kakaNauza perfume karibuni mniungishe follow account yangu ya instagrame natumia jina la TIba_perfume uko mtapata kila aina ya perfume nzuri
sauvage dior kwangu naiona ni kali sanaa walau invictus kidogoLike this..huyu dada alipenda navyonukia.ikabidi aniulize.View attachment 2449172
Umetisha mkuuNaam, na kuna nyingine mbili sijaweka...
Kila moja na wakati wake hapo...
ADG na DG - Huitumia nikienda kwa mkoloni
Zara - Mitoko ya sherehe au any public places maana ina scent moja inayosambaa haraka kama Creed hivi
Montblanc - Hii huitumia tu wakati wowote ninavyojisikia
CK - Nikiwa maskani, sababu yenye ni EDT, harufu yake ni woody iliyopoa hivi
Pia kuna Grand Noir(Mason Francis Kurkdjian, ndugu moja na Baccarat) hatari sana hii ukimuhug mchuchu lazima umuachie harufu yake na Zara BlackTag (summer edition) zijaziweka hapo....
Like this..huyu dada alipenda navyonukia.ikabidi aniulize.View attachment 2449172
Hapa nipe darasa Kamanda!
Kwani perfume ni ya kujipulizia mwilini moja kwa moja au ni kwenye nguo tu na spray ndiyo ya kwenye mwili?au vyote inawezekana?
Aisee hii bidhaa ya dove nmeinyooshea mikono.
Mwanzo nilinunua sabuni nadha ilkua fake ile make ilianza kuharibu ngozi yangu, lkn nikapata chimbo jingne nikanunua Dove nyingne elf5 (hii n tofaut kabsa naya mwanzo make kwa box ufunguaji wake unaikuta sealed, namba za mfg na exp ziko ingraved kwa box hazijapachikwa tuu, pia n kubwa kidogo kwa umbo tifauti naya mwanzo).
Nmejidunga na lotion yake ya 20, aisee niko na five days nmeanza kuitumia lkn ngozi imekua soft, dead skin zinabanduka tuu.
Thanks Hornet
Mimi nimenunua dove ya tango nimekuta kubwa kama jamaa naomba unipm namba za wauzaji og nizichukue mkuu halafu kati ya pink na tango ipi dove nzuri
[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Kama upo Dar nichek
Natoa bonus Ya holiday
Au mahal duka lilipo maaan kuna siku nmetafut ya kipand nkakosha nkaangukia kweny shower gel[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Kama upo Dar nichek
Natoa bonus Ya holiday
Shukrani sana kwa elimu!!!NI mapenzi ya mtu tu, lakini wanaotengeneza perfume walilenga ipuliziwe juu ya ngozi...
Mwili wa mwanadamu hutia joto, na joto hilo huipasha perfume na kuifanya iyoe zile scents zilizotumuka kuitengeneza hence kunukia...
Lakini binafsi huwa napulizia nguo kabla ya kuivaa, kuna wakati nishawahi kusoma mtoto wa miaka 17 alipatwa na kansa kwa sababu ya matumizi yaliyopitiliza ya perfume juu ya ngozi, hii ndio sababu imenifanya ni avoid kabisa kujimwagia unyunyu kwenye ngozi...
Daah, perfume kwenye ngozi?. Mkuu tafadhali Bwana.NI mapenzi ya mtu tu, lakini wanaotengeneza perfume walilenga ipuliziwe juu ya ngozi...
Mwili wa mwanadamu hutoa joto, na joto hilo huipasha perfume na kuifanya itoe zile scents zilizotumika kuitengeneza hence kunukia...
Lakini binafsi huwa napulizia nguo kabla ya kuivaa, kuna wakati nishawahi kusoma mtoto wa miaka 17 alipatwa na kansa kwa sababu ya matumizi yaliyopitiliza ya perfume juu ya ngozi, hii ndio sababu imenifanya ni avoid kabisa kujimwagia unyunyu kwenye ngozi...